Tanzania inatakiwa kuvunja Mkataba wa Loliondo!

Wanafiki tu, mbona wakati wanajutia hawarudishi maokoto waliyopewa? Ni Hali ya kujitetea ili wakifa waache hadithi nzuri... Bahati mbaya mabaya ndio yanahadithiwa mpaka kiama...ngoja na bi mkubwa anze uandishi wake kuhusu bandari! 😁😁
walitakiwa baada ya kujuta, wajikute wapo kisutu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…