Tanzania inazalisha sana dhahabu

Tanzania inazalisha sana dhahabu

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Ramani ya Dunia inayoonyesha kila nchi na vitu ambavyo nchi hizo zinaongoza kwa kuuza nje ya nchi kwa wingi (Export)!

Kama inavyoonekana sisi ni Dhahabu tu kwa kwenda mbele lkn majirani zetu yaani Kenya, Uganda na wengineo wao zao ni machai machai na Kahawa tu, hawa jmaa hawana future kabisa, Duh!

Hatutaki Muungano wenu wa AM, Sisi Matajiri Bhana ala!





[/PHP]
 
Hiyo dhahabu wanafaidi wawekezaji, sisi tukiambulia 3% tu.Kuna cha kuchekelea kweli!
 
Hawa CIA ama kweli .. .... yaani taifa 'takatifu' la Afghanistan halina shughuli ingine ya kiuchumi zaidi ya kuzalisha OPIUM!
 
Back
Top Bottom