Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Ramani ya Dunia inayoonyesha kila nchi na vitu ambavyo nchi hizo zinaongoza kwa kuuza nje ya nchi kwa wingi (Export)!
Kama inavyoonekana sisi ni Dhahabu tu kwa kwenda mbele lkn majirani zetu yaani Kenya, Uganda na wengineo wao zao ni machai machai na Kahawa tu, hawa jmaa hawana future kabisa, Duh!
Hatutaki Muungano wenu wa AM, Sisi Matajiri Bhana ala!
[/PHP]