Tanzania inazidi kuwavutia mastar wakubwa Duniani, sasa ni zamu ya David Raya wa Arsenal

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kipa namba Moja wa Arsenal David Raya na Mpenzi wake wapo Nchini kwa sasa wakifurahia mapumziko yao baada ya Msimu kutamatika Ligi Kuu ya England.

Sasa inaonekana Mastar wengi wanavutiwa na kuja Tanzania kwenye vivutio mbalimbali kuenjoy mapumziko yao baada ya Zlatan kuonekana Serengeti, Pedri na wengine wengi sasa ni zamu ya David Raya.

Soma, Pia: Zlatan Ibrahimovic atua Serengeti, apost akijivinjari

Kizuri kinajitangaza wachezaji wanaambiana Uzuri wa Tanzania ndio maana wachezaji wengi wanakuja.





​
 
Shida possibility ya wao kurudi tena ni ngumu, na hawafanyi uwekezaji
 

Wabongo bana? So hii ni achievement kuuuubwa hii? hivi pamoja na manabiii na mitume waliojaa kila mtaa bado mungu hajaamua kuongeza bites kwa vichwa vya kaka na dada zetu tu? Tukeshe zaidi kuomba akili au tuendelee tu kuomba magari na nyumbaz? πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜€

My country...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…