Kazuri Kadada
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 536
- 435
AmenPole yao kwakweli.
Ninadhani ni suala la mila na desturi zao hata kabla ya mlipuko huu wa UVIKO.Hii ni ethnic traditions or Public Health Protection guidelines?
Chuki binafsi baina ya mtu mmoja na mwingine sidhani kama zinaweza kuwa ni msimamo wa nchi zao. Kumbuka kuna jamii kubwa sana ya watanzania wana asili ya huko India.Tangu lini Wahindi walikuwa marafiki wa watu wenye ngozi nyeusi?
Hakika Mungu amekusikiaPole yao kwakweli.
Msaada mkubwa wa sisi kuwapa wadosi ni kuzuia atcl safari za mumbai kwa muda
Harafu kuna wabumbafu humu walikuwa wakisema serikali ya Jpm ilikuwa inaficha vifo vya corona.tanzania haijawai kupatwa na corona,kama ingepatwa tungelikuwa zaidi ya India,tumshukuru Mungu kwa kutuponya.Nilikuwa ninaangalia CCN mpaka nikasisimka mwili mzima. Maiti zimetapakaa kila kona.
Kisukari na magonjwa ya moyo ni mengi sana India kutokana na genetics zao changanya na life style.Sema wahindi wanaendekeza kula sana inayopelekea watu wengi kuwa na miili mikubwa( wanene) ukizingatia sio watu wa mazoezi, kwahiyo wakikutana na Corona lazima iwe tatizo
Ndiyo mambo yanochangia, lakini idadi ya watu ni kubwa sanaKisukari na magonjwa ya moyo ni mengi sana India kutokana na genetics zao changanya na life style.
I still remember this bro...Italia kuna kipindi walichanganyikiwa mpaka wakasema wanaona mawingu tuu yaan hawajui cha kufanya
Tangia uhuru wa mwaka 1961Tangu lini Wahindi walikuwa marafiki wa watu wenye ngozi nyeusi?
Hakika mzee Magufuli atakumbukwa kwa mengi mazuri.Italia kuna kipindi walichanganyikiwa mpaka wakasema wanaona mawingu tuu yaan hawajui cha kufanya halafu washenzi fulan mkawa mnapinga njia alizotumia mzee kuikimbiza Corona Rip mzee.
Tuzidi kuwaombea kwa maana hatuna kingine cha kuwapa mkuu...Daah wamekosea wapi hawa ndgu zetu. Mwanzo hali ilikua tete china ikaja nchi za ulaya ikaja kupiga marekani, msala ukahamia brazili kwa hali mbaya zaidi sasa hivi India hali inatisha kuliko nchi zote zilizoathiriwa.
Kuna video clip nimeiona watu wanaanguka barabarani na ving'ora vya gari za wagonjwa hovyo hovyo. India inahitaji maombi.
India ni ya pili kwa idadi kubwa ya watu baada ya ChinaNdiyo mambo yanochangia, lakini idadi ya watu ni kubwa sana