Tanzania - India Relations: Hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa India? Hata kama ni salamu za pole pekee zinatosha sana

Tanzania - India Relations: Hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa India? Hata kama ni salamu za pole pekee zinatosha sana

Nitawasaidia ushauri. Wache dhambi yao ya kuabudu ng'ombe, khalafu wampokea Bwana Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yao kwa Kumkiri, Watubu na Wabatizwe ili wakamilishe tendo la kuzaliwa kwao. Wawe wamezaliwa kwa mwili na kwa Roho.

Shetani ni mbaya sana anakuanzishia kukupigisha jaramba la moto hapa hapa duniani kwa moto wa kuni za mijohoro.
 
Kwa wakati huu kusingepaswa kuwe Kuna nchi inapitia pito gumu la corona Kama ilivyokua mwanzoni mwa kuanza kwa ugonjwa wenyewe.

Kwa sababu elimu inatokiwa kupewa watu wameshapewa Sana, tagadhari zinazotakiwa kuchukuliwa kuukwepa ugonjwa huu zinajulikana wazi na zaidi ya yote chanjo zipo na zinasadikika kufanya kazi.

Sasa sijajua huko India Ni wapi wamekosea, yote ya yote Mungu awape wepesi .
 
Sema wahindi wanaendekeza kula sana inayopelekea watu wengi kuwa na miili mikubwa( wanene) ukizingatia sio watu wa mazoezi, kwahiyo wakikutana na Corona lazima iwe tatizo
 
Sema wahindi wanaendekeza kula sana inayopelekea watu wengi kuwa na miili mikubwa( wanene) ukizingatia sio watu wa mazoezi, kwahiyo wakikutana na Corona lazima iwe tatizo
Kisukari na magonjwa ya moyo ni mengi sana India kutokana na genetics zao changanya na life style.
 
Daah wamekosea wapi hawa ndgu zetu. Mwanzo hali ilikua tete china ikaja nchi za ulaya ikaja kupiga marekani, msala ukahamia brazili kwa hali mbaya zaidi sasa hivi India hali inatisha kuliko nchi zote zilizoathiriwa.

Kuna video clip nimeiona watu wanaanguka barabarani na ving'ora vya gari za wagonjwa hovyo hovyo. India inahitaji maombi.

Wingi wao pia nadhani unachangia sana, labda social distance inakua vigumu sana kulingana na mazingira na familia zao kuishi kwa wingi wingi.
 
Daah wamekosea wapi hawa ndgu zetu. Mwanzo hali ilikua tete china ikaja nchi za ulaya ikaja kupiga marekani, msala ukahamia brazili kwa hali mbaya zaidi sasa hivi India hali inatisha kuliko nchi zote zilizoathiriwa.

Kuna video clip nimeiona watu wanaanguka barabarani na ving'ora vya gari za wagonjwa hovyo hovyo. India inahitaji maombi.
Tuzidi kuwaombea kwa maana hatuna kingine cha kuwapa mkuu...
 
Back
Top Bottom