Rose Gabriella
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 603
- 583
Kwani huyo SKY ECLAT amekuwa daktari siku hizi?Chanjo ni kabla ya kuumwa ila ukishaumwa suluhisho ni tiba kwa maana lengo la chanjo ni kuzuia ugonjwa na sio kutibu.
Sky Eclat nipo sahihi katika hili?
SijuiWahindi wote wanaumwa Corona?
Je, hujui kwamba huyo kirusi wa mwanzo sio sawa na virusi wa sasa???Kwa wakati huu kusingepaswa kuwe Kuna nchi inapitia pito gumu la corona Kama ilivyokua mwanzoni mwa kuanza kwa ugonjwa wenyewe.
Kwa sababu elimu inatokiwa kupewa watu wameshapewa Sana, tagadhari zinazotakiwa kuchukuliwa kuukwepa ugonjwa huu zinajulikana wazi na zaidi ya yote chanjo zipo na zinasadikika kufanya kazi.
Sasa sijajua huko India Ni wapi wamekosea, yote ya yote Mungu awape wepesi .
Mkuu, halafu hii ndio inayonichanganya sana mpaka ninahisi labda kuna watu wanafanya huu mchezo wa kubadilisha virusi.Je, hujui kwamba huyo kirusi wa mwanzo sio sawa na virusi wa sasa???
India wana malugha mengi hata sijui lugha yao ya taifa ni ipi wale watu, ni nchi ya nne dunia kuwa na karibia lugha zaidi ya 400 ndani ya taifa mojaAfu hivi kwanini lugha ya kihindi haizunguzwi na wazawa kama zilivokuwa lugha nyengine? Kwanini watanzania wanaokijua kihindi ni wachache ukilinganisha na kichina, kiarabu, kingereza, kiitaliano, kihispania nk shida nini sisi wazawa hatutaki kujifunza au wao hawataki kutufundisha
Daaah, lugha 400 ndani ya nchi moja mzee baba?India wana malugha mengi hata sijui lugha yao ya taifa ni ipi wale watu, ni nchi ya nne dunia kuwa na karibia lugha zaidi ya 400 ndani ya taifa moja
Ndo kusema chanjo kwa sasa sio msaada kabisa? Maana kuna new variants wa virus kila uchao.Je, hujui kwamba huyo kirusi wa mwanzo sio sawa na virusi wa sasa???
Kwa kawaida kirusi huwa na tabia ya kujibadilisha umbile la kijenetiki "antigenic drift" na "antigenic shift"Mkuu, halafu hii ndio inayonichanganya sana mpaka ninahisi labda kuna watu wanafanya huu mchezo wa kubadilisha virusi.
Lugha kubwa ni Hindu, ukiacha hiyo wana lugha 22 rasmi "official" ambazo zinazungumzwa kulingana na majimbo yao yale...Daaah, lugha 400 ndani ya nchi moja mzee baba?
Baba wa uongo kama Mbowe. Ameanguka kwa Konyagi anasingizia kapigwa.
Ndo kusema chanjo kwa sasa sio msaada kabisa? Maana kuna new variants wa virus kila uchao.
Hata kutuma salamu ya pole tu hatuwezi?Embu acha kuchekesha
Msaada ? Wakati tunaamini corona haipo/ mchezo wa mabeberu/ hila msaada wowote wa maana hatuwezi kutoa hata ushauri ni bora tubaki tu kimyaa
Mbona msiba wa mume wa malkia Elizabeth hatukuacha tu upite na dunia nzima ilimlilia? Rais alituma salamu kwa niaba ya watanzania wote.Mambo mengine ni kuacha yapite kama walivyosema wahenga kuiga kunywa kwa tembo.... Sio kuona usa na ulaya wakifanya yao na sisi tufanye
Watu kama hao wanataka kuchonganisha Tanzania na IndiaUkatili wa Wahindi wachache sio ukatili wa India nzima.
India ni rafiki mzuri sana wa Tanzania. Hao hawataweza kutuchonganisha.Watu kama hao wanataka kuchonganisha Tanzania na India
Ndio hapo sasa hata mimi nimeshangaa sanaMbona msiba wa mume wa malkia Elizabeth hatukuacha tu upite na dunia nzima ilimlilia? Rais alituma salamu kwa niaba ya watanzania wote.
Ule msiba upo tofauti na haya yanayojiri india, kwa ule msiba mtu mmoja pole tu ilikuwa yatosha kuonyesha mshikamano.Mbona msiba wa mume wa malkia Elizabeth hatukuacha tu upite na dunia nzima ilimlilia? Rais alituma salamu kwa niaba ya watanzania wote.