Tanzania - India Relations: Hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa India? Hata kama ni salamu za pole pekee zinatosha sana

Lakini kwa haya yanayoendelea india ukituma pole utakuwa kituko katika medani za kidiplomasia. Ili uende sambamba yabidi utume vifaa vya kusaidia juhudi maana bado mapambano yanaendelea na watu wanaendelea kufa.
Mkuu, kwa hiyo wewe kama hauna pesa ukisikia rafiki yako amefikwa na tatizo hauwezi kumpigia simu ukampa pole?
 
Ila fresh kama kutuma pole itabidi uwekwe utaratibu kutuma pole kila wiki coz kutakuwa kuna marehemu wengine wamezalishwa na covid
Pole ni kwa kile wanachopitia kwa sasa na sio idadi ya wanaokufa kila siku
 
India is a very lucrative market for the Covid vaccine. (1 billion + people). Wameshindwa China sasa wameenda India. Africa watawapiga SA au Nigeria. Mark my comment!
Mkuu, kama kweli huu ugonjwa ni biashara ya watu, basi pesa ni mwanaharamu.
 
Hivi ATC bado inaenda India? Ni wakati wa kusitisha safari za India na kuzuia kwa muda watu kutoka India kuja huku la sivyo tutegemee hilo janga baada ya wiki kadhaa.
 
India is a very lucrative market for the Covid vaccine. (1 billion + people). Wameshindwa China sasa wameenda India. Africa watawapiga SA au Nigeria. Mark my comment!
Wazungu ni watu wabaya sana aisee. Wanatengeneza ugonjwa hivi hivi kwa lengo la kuangamiza watu wa nchi masikini.
 
Agreed! Yes!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…