Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,952
- 4,416
India is a very lucrative market for the Covid vaccine. (1 billion + people). Wameshindwa China sasa wameenda India. Africa watawapiga SA au Nigeria. Mark my comment!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, kwa hiyo wewe kama hauna pesa ukisikia rafiki yako amefikwa na tatizo hauwezi kumpigia simu ukampa pole?Lakini kwa haya yanayoendelea india ukituma pole utakuwa kituko katika medani za kidiplomasia. Ili uende sambamba yabidi utume vifaa vya kusaidia juhudi maana bado mapambano yanaendelea na watu wanaendelea kufa.
Pole ni kwa kile wanachopitia kwa sasa na sio idadi ya wanaokufa kila sikuIla fresh kama kutuma pole itabidi uwekwe utaratibu kutuma pole kila wiki coz kutakuwa kuna marehemu wengine wamezalishwa na covid
Mkuu, kama kweli huu ugonjwa ni biashara ya watu, basi pesa ni mwanaharamu.India is a very lucrative market for the Covid vaccine. (1 billion + people). Wameshindwa China sasa wameenda India. Africa watawapiga SA au Nigeria. Mark my comment!
Sina uhakika mkuu. Ngoja niulize kwa wadau kisha nitakujuza...Hivi ATC bado inaenda India?
Mtu kama wewe hauna thamani yoyote hapa dunianiPole yanin washe.nzi wakubwa hao.siwapend..wanadharau sana ngoz nyeus...shaur yao
SafiNi wakati wa kusitisha safari za India na kuzuia kwa muda watu kutoka India kuja huku la sivyo tutegemee hilo janga baada ya wiki kadhaa.
Huyo dogo ni moja ya wapuuzi wa humu JF. Ninamfananishaga na vijana wa kule UfipaMtu kama wewe hauna thamani yoyote hapa duniani
Mungu atuepushie mbali kasi hiyo kwakweliSisi wenyewe tuko kwenye foleni.
We are NEXT.
Vifo haviwezi kuwa kama vya wahindi, kwasababu wahindi ni wengi lakini mzimu wa CORONA upo unalindima bado.
Amen. Hakika Mungu amesikia maombi yakoMungu atuepushie mbali kasi hiyo kwakweli
Wewe ndio m.s.h.e.n.z.i ila India ni rafiki zetuPole yanin washe.nzi wakubwa hao.siwapend..wanadharau sana ngoz nyeus...shaur yao
Wazungu ni watu wabaya sana aisee. Wanatengeneza ugonjwa hivi hivi kwa lengo la kuangamiza watu wa nchi masikini.India is a very lucrative market for the Covid vaccine. (1 billion + people). Wameshindwa China sasa wameenda India. Africa watawapiga SA au Nigeria. Mark my comment!
Una uhakika gani kama ugonjwa huu umetengenezwa na wazungu?Wazungu ni watu wabaya sana aisee. Wanatengeneza ugonjwa hivi hivi kwa lengo la kuangamiza watu wa nchi masikini.
India inatusaidiaga sana linapokuja suala zima la matibabuWewe ndio m.s.h.e.n.z.i ila India ni rafiki zetu
Agreed! Yes!Mambo vp jamiiforums.
Mama yetu Liberata Mulamula, hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa India? Hata kama ni salamu za pole pekee (bila kutuma pesa) zinatosha sana.
==========
View attachment 1765544
==========
Juhudi za kimataifa zinaendelea katika kujaribu kuisaidia India wakati nchi hiyo inakabiliwa na uhaba mkubwa sana wa oksijeni baada ya kuongezeka kwa visa vya Covid.
Uingereza imeanza kutuma vifaa vya kusaidia kupumua na vifaa vya kusaidia kutengeneza oksijeni. Nchi wanachama wa EU pia wanajiandaa kutuma misaada.
Marekani imekwisha aondoa marufuku ya kutuma malighafi nje ya mipaka yake, hivyo kuiwezesha India kutengeneza chanjo zaidi ya AstraZeneca. Delhi mji mkuu wa India umeongeza muda wake wa katazo la watu kutoka nje (lockdown) wakati huo hospitali zilizojaa utitiri wa watu zinaendelea kuwarudisha wagonjwa makwao.
Aliyewahi kuwa Rais wa Tanzania Dr. JPM siku alipokutana na rafiki yake Waziri Mkuu wa India.
==========
View attachment 1765569
==========
Serikali ya Urusi imeidhinisha mipango ya kutuma mitambo zaidi ya 500 ya uzalishaji wa oksijeni kwenda India ili kuongeza vifaa. India iliripoti visa 349,691 zaidi katika muda wa saa 24 hadi Jumapili asubuhi (April 25, 2021) na vifo vingine 2,767, hata hivyo takwimu za kweli zinafikiriwa kuwa kubwa zaidi.
Alipofariki mume wa malkia wa Uingereza Prince Philip, tulijitahidi sana kwa kuwapa pole ndugu zetu wa Uingereza. Pongeze sana kwa Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan pamoja na timu yake.
==========
View attachment 1765545
==========
SWALI: Mama yetu Liberata Mulamula, hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa nchini India? Hata salamu za pole pekee?
==========
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Okay thanksAgreed! Yes!