Tanzania ingewapata akina Carol Ndosi 100 maendeleo yangekuja haraka sana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
CAROL-NDOSI.jpg
Kwa dakika 20 tu nilizomuona akihojiwa Cloudstv 360 on Saturday hivi punde tu huyu Dada Mjasiriamali na Mwanaharakati Carol Ndosi si wa ' level ' ndogo na ya Kiswahili Kiswahili bali ni Dada ambaye uwezo wake mkubwa wa IQ unaweza ukaukuta sana Israel, Marekani na Uingereza.

Ni...

  1. Mwerevu
  2. Makini
  3. Mwenye Maarifa
  4. Mthubutu
  5. Anajiamini
  6. Shupavu
  7. Mrembo haswa na kwa uzuri wa Sura yake unaonogeshwa na Tabasamu lake la ' thamani ' na lililotukuka hakika hutochoka kumtizama / kumkodolea kila mara na kupitia tu huu Urembo / Uzuri wake ndipo wote tunakubaliana kwamba Mungu ' Fundi '

CarolNdosi Shikamoo Dada.

Nawasilisha.
 
Ni mwanamke wa Kitanzania anayejitambua na kujielewa sana. Ni mfano wa kuigwa na hawa wasichana wa kizazi hiki.

Yuko vizuri Mkuu na ninaposema yuko vizuri namaanisha. Haya Wanawake wengine ' Magari ya Mikaa ' hebu jifunzeni basi chochote kutoka kwa huyu Dada na siyo kuwekeza katika kupiga ' Selfies ' na kukaa ' Vijiweni ' kujadiliana ni Wanaume gani mkawapige ' mizinga ' ili maisha yenu yaende na yawe mteremko.
 
Katika hili nakuunga mkono kabisa kwakweli huyu dada ni mpambani haswa na anaonekana kabisa yani uhitaji kuandaa tume ya uchunguzi kubaini hivyo....

Kwakweli kwenye kichwa chake ndani amejaza madini sana anao uwezo mkubwa sana mimi binafsi siwezi mfanana na wale ambao hujiita wanawake wa shoka na malikia wa nguvu
 
Kak

Kakeketwa huyo Mmeru.
 
Ndiyo huyu aliyewachefua waislamu kwenye kipindi cha EATV kwamba kutumia vipaza sauti ni makelele ikabidi kipindi kifutwe jumla? Au majina tu yamefanana?

Kama ndiye basi naomba nitofautiane na wewe mtoa hoja. Yule host mwenzake Daniel Kijo was smartest
 
Kwa dakika 20 tu nilizomuona akihojiwa Cloudstv 360 on Saturday hivi punde tu huyu Dada Mjasiriamali na Mwanaharakati Carol Ndosi si wa ' level ' ndogo na ya Kiswahili Kiswahili bali ni Dada ambaye uwezo wake mkubwa wa IQ unaweza ukaukuta sana Israel, Marekani na Uingereza.

Ni...

  1. Mwerevu
  2. Makini
  3. Mwenye Maarifa
  4. Mthubutu
  5. Anajiamini
  6. Shupavu
  7. Mrembo haswa na kwa uzuri wa Sura yake unaonogeshwa na Tabasamu lake la ' thamani ' na lililotukuka hakika hutochoka kumtizama / kumkodolea kila mara na kupitia tu huu Urembo / Uzuri wake ndipo wote tunakubaliana kwamba Mungu ' Fundi '

CarolNdosi Shikamoo Dada.

Nawasilisha.
Eleza kafanya nini? Acha kuwa chadomo lisilo na ladha..
 
Yuko vizuri Mkuu na ninaposema yuko vizuri namaanisha. Haya Wanawake wengine ' Magari ya Mikaa ' hebu jifunzeni basi chochote kutoka kwa huyu Dada na siyo kuwekeza katika kupiga ' Selfies ' na kukaa ' Vijiweni ' kujadiliana ni Wanaume gani mkawapige ' mizinga ' ili maisha yenu yaende na yawe mteremko.
Sawa magari ya mikaa tumekusikia, sala zako basi sasa eh
 
Katika hili nakuunga mkono kabisa kwakweli huyu dada ni mpambani haswa na anaonekana kabisa yani uhitaji kuandaa tume ya uchunguzi kubaini hivyo....

Kwakweli kwenye kichwa chake ndani amejaza madini sana anao uwezo mkubwa sana mimi binafsi siwezi mfanana na wale ambao hujiita wanawake wa shoka na malikia wa nguvu
Umesahau nae juzi alipewa tuzo ya umalikia wa nguvu? au unajitoa fahamu tu
 
Ndiyo huyu aliyewachefua waislamu kwenye kipindi cha EATV kwamba kutumia vipaza sauti ni makelele ikabidi kipindi kifutwe jumla? Au majina tu yamefanana?

Kama ndiye basi naomba nitofautiane na wewe mtoa hoja. Yule host mwenzake Daniel Kijo was smartest
Kwa kuwa alikosea hapo ndo iondoe umakini wake? Not right hata kidogo, kumbuka tu kwamba hakuna kiumbe kikamilifu chini ya jua isipokuwa Muumbaji Pekee
 
Back
Top Bottom