Tanzania ingewapata akina Carol Ndosi 100 maendeleo yangekuja haraka sana

mi nachojua yuko active sana kule TWEETER,,

hizi tuzo za clouds huwa zko kimahesabu zaidi,,

sawa mpambanaji
 
Kwa kuwa alikosea hapo ndo iondoe umakini wake? Not right hata kidogo, kumbuka tu kwamba hakuna kiumbe kikamilifu chini ya jua isipokuwa Muumbaji Pekee

Labda sijui maana halisi ya mtu makini na mwerevu, maana kwa uelewa wangu mtu mwenye sifa hizi huwa anapima madhara ya kila neno linalotoka mdomoni mwake na wapi hasa aongee kipi. Mropokaji kwangu hawezi kuwa mtu makini na mwerevu. Sijui labda i'm wrong
 
sijaona jipya kwake tatizo wabongo mnaamini sana watu wanaojitangaza.. kala sana michango ya watu kwenye majanga

Mara ya pili unaongea hivi. Sijui kama ulirudi kusoma jibu kwenye uzi ulionzisha kuhusu mimi. Tafadhali sana tusiharibiane majina nakushauri kama una ushahidi tafadhali ungeuweka tu hapa kama ambavyo ulijaribu kuanzisha uzi wa kunichafua lakini bahati mbaya haikwenda ulivyodhamiria. Pole kaka..inaonekana nakupa mawazo sana, but niko wazi mno. Uliza tu linalokusumbua nikujibu.
 
Nimeona comments nyingi za chuki hadi nikashangaa. Huyu dada nionavyo mimi pia ni kwamba anafanya vitu vikubwa vya kutumia akili nyingi sana. Kuna wakati flani nilifanya kazi kwenye media company na kugundua kuwa kuandaa tamasha au events zinazohitaji udhamini sio jambo rahisi. Sasa dada na nyama choma festival ambayo imedumu kwa miaka mingi sio wa kumchukulia kawaida. Kaumiza akili. Tumwombee kwa Mungu azidi kupigana zaidi. Hongera dada Carol Ndosi
 
Kila mtu ana kasoro yake kwa binadamu mwenzake..Yamkini kasoro hizo zinaweza zisiwe uhalisia lakini ndio ubinadamu na ndio maisha. Alhamdulilah to EVERYTHING.
 
Msanii wa mjini huyo kaka yake ndiye aliyeanzisha nyama choma festival.Marehemu sasa.Hao wasanii wa mjini wamerithi usanii kwa baba yao
 
Kila mtu ana kasoro yake kwa binadamu mwenzake..Yamkini kasoro hizo zinaweza zisiwe uhalisia lakini ndio ubinadamu na ndio maisha. Alhamdulilah to EVERYTHING.
Pambana Dada. Jitihada zako zinagusa maisha ya familia nyingi tu. Binafsi nakutakia mafanikio.
 
Nimeona comments nyingi za chuki hadi nikashangaa. Huyu dada nionavyo mimi pia ni kwamba anafanya vitu vikubwa vya kutumia akili nyingi sana. Kuna wakati flani nilifanya kazi kwenye media company na kugundua kuwa kuandaa tamasha au events zinazohitaji udhamini sio jambo rahisi. Sasa dada na nyama choma festival ambayo imedumu kwa miaka mingi sio wa kumchukulia kawaida. Kaumiza akili. Tumwombee kwa Mungu azidi kupigana zaidi. Hongera dada Carol Ndosi
Uanamke mke wake ndio umefanya nyama choma festival idumu nothing more....Halafu anapenda kusifiwa balaaa
 
Yuko makini, ni moja kati wa wadada ambao wamejipambanua. Anafaa kuwa katibu mkuu wa chama pendwa achukue nafasi ya slow slow.
 
Back
Top Bottom