Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kumbe!Ndiyo huyu aliyewachefua waislamu kwenye kipindi cha EATV kwamba kutumia vipaza sauti ni makelele ikabidi kipindi kifutwe jumla? Au majina tu yamefanana?
Kama ndiye basi naomba nitofautiane na wewe mtoa hoja. Yule host mwenzake Daniel Kijo was smartest