eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Kaka kuwa mfuatiliaji wa matukio ya nchi yako, wacha hulka za kukurupuka.
------------------------------------------------------
Wakuu leo nikiwa kwenye Ofisi za DHL kufuatilia mzigo wangu, waliingia Wachina Kuja kuchukua Mzigo wao ambao umetumwa kutoka Huko kwao, na inaonekana hawana adress ya makazi so waliagiza kupitia ofisi ya DHL, sasa wakati anasaini ili wachukue Mzigo waliombwa vitambulisho, mimi nikajua hapo watatoa Pasport, Ila cha kushangaza walitoa Kadi za Kupigia Kura za Tanzania, kwa kweli nilichoka make wanaongea Kingereza kwa shida inaonekana wanajua tu kichina.
Ilibidi niunganishe na ile ishu niliyosoma kwamba Uraia Tanzania unatolewa kama Karanga, na sidhani kama kuna nchi ambayo ni rahisi sana kwa mgeni kupata Uraia kama Tanzania.
Kauli ya Waziri Mwigulu: Wachina "kuomba uraia"
eliakeem
Duuu aisee hiyo story ya DHL si kweli. Maana hao wangeswekwa rupango. Hajui hata kiswahili halafu ana kadi ya NEC. Hapo njoo tena.