Tanzania investiment centre kutoshiriki maonyesho ya sabasaba

blackwizard

Senior Member
Joined
Feb 8, 2012
Posts
163
Reaction score
24
Jana nilikuwa maonyesho ya sabasaba na wageni wangu kutoka Marekani wakiwa na hamu ya kujua taratibu za kufanya biashara tanzania. Tulijaribu kutafuta banda la TIC kwa masaa matatu bila mafanikio, Mwisho tuliomba msaada Information centre na kupata taarifa za kusitua kwamba TIC hawakushiriki maonyesho. Najiuliza Je hawa wageni walioalikwa wangetaka kuwekeza nchini watapata ushauri wapi? ama tunahitaji rais aende ulaya kuwaeleza wafanya biashara uwekezaji wa nchi peke yake?
Nahitaji msaada wa maelezo kwenye hili kwanini TIC wameshindwa kushiriki?mkurugenzi wa TIC ana kazi gani? hakuona umuhimu kushiriki maonyesho haya?
 
Me nadhani huku umeleta mahala pasipohuka mkuu,tafuta jukwaa husika.
 
Back
Top Bottom