Tanzania ipo hatarini. . Wenye ulimwengu washaanzisha script kua Tanzania kuna machafuko ya kidini na Wakristo wanaonewa

Tanzania ipo hatarini. . Wenye ulimwengu washaanzisha script kua Tanzania kuna machafuko ya kidini na Wakristo wanaonewa

Akotia

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
590
Reaction score
1,405
Ted cruz akituchongea kua kuna machafuko yakidini Tanzania

Oyaaa Tanzania ipo hatarini. Wenye ulimwengu washaanzisha script kua Tanzania kuna machafuko ya kidini na Wakristo wanaonewa. Mzalendo hiki sio ukweli.

Ted Cruz wa Marekani ni muongo na mchonganishi. Tupambane tusichonganishwe zaidi. Kila Mkristo nchi hii anaabudu na kuishi maisha yake kama kawaida.
 
Hakuna Cha uchonganishi na hakuna mwananchi anaye ichonganisha nchi na Duniani huko...

Ukweli ni ule ule Tendeni haki kwa mnao waongoza, Jalini maumivu yao, wapeni faraja pale inapobidi

Mfano mzuri, tumepoteza watu 518 kama wasemavyo lakini hakuna hata kiongozi anayeshtuka kuwa watu hao wamepoteza ndoto na Nguvu kazi katika Taifa hili, huenda katika hao waliofariki tumepoteza Dr. Bingwae, tumepoteza Rais, tumepoteza, Engineer, Huenda tumepoteza wasomi wakubwa, huenda katika waliofariki tumepoteza mwanasayansi mkubwa Duniani

Halafu simple unasimama kwenye uso wa wengi unaongea bila utu, kesho watu wakielezea kilichotokea mnawaona wanaisaliti nchi na kuona wanawagombanisha Duniani humo

Mwanadamu ukifika hatua ya kuona kifo au mwenzio anapata changamoto ni kawaida hata huko mbinguni tunakoomba Kila siku tufike hatuwezi kamwe kuuona hata uo uso wa Muumbaji wetu.

Shame on you guys
 
Back
Top Bottom