Tanzania ipo hatarini. . Wenye ulimwengu washaanzisha script kua Tanzania kuna machafuko ya kidini na Wakristo wanaonewa

Tanzania ipo hatarini. . Wenye ulimwengu washaanzisha script kua Tanzania kuna machafuko ya kidini na Wakristo wanaonewa

Wananchi kwa wananchi hatuna ugomvi wowote wa kidini.

Shida ipo kwa watawala kuwatumia BAKWATA dhidi ya Wakristo. Fikiria yule shekhe shetani wa BAKWATA, kwa uhuru kabisa alitamka kuwa eti watu wakiandamana yeye atawaamrisha waislam wakawakate vichwa waandamanji!! Maana yake kwa fikra zake ni kuwa watakaoandamana watakuwa ni wakristo. Mtu mwenye akili atajiuliza, kwani hayo maandamano yalikuwa ya kidini? Kwa nini huyo shekhe shetani aamini kuwa watakaoandamana watakuwa ni wakristo pekee?

Kudhihirisha kuwa alikuwa ametumwa, hakuwahi kuhojiwa wala kukamatwa kwa kuchochea igomvi na chuki za kidini.

Kwa uhakika wa 100%, kwa wananchi hakuna chuki zozote za kidini, lakini watawala wana chuki dhidi ya wakristo kwa sababu viongozi wa dini ya Kikristo wamekuwa mstari wa mbele kukemea uovu wa watawala dhidi ya wananchi. Japo, kwa uhakika hata waislam wengi wakiongozwa na Shura ya Maimamu, nao daima wamesimama katika haki na kukemea uovu wa watawala.

Wananchi, wakristo kwa waislam, tusiposimama pamoja na kukemea mbinu chafu za watawala za kuwatumia BAKWATA kutaka kututenganisha kwa mtizamo wa kidini, siku moja tutakuja kujuta.
 
Hasemi uongo, hivi hakuna mvutano kati ya masheikh ubwabwa na viongozi wa kikristo hasa wakatoliki, baada ya serikali kushindwa na nguvu ya wananchi walioungana kuiwajibisha kwa matendo maovu, wakaona wawavuruge na kuwavunja nguvu katika suala la kiimani kwa kuwagombanisha.
 
Ted cruz akituchongea kua kuna machafuko yakidini Tanzania

Oyaaa Tanzania ipo hatarini. Wenye ulimwengu washaanzisha script kua Tanzania kuna machafuko ya kidini na Wakristo wanaonewa. Mzalendo hiki sio ukweli.

Ted Cruz wa Marekani ni muongo na mchonganishi. Tupambane tusichonganishwe zaidi. Kila Mkristo nchi hii anaabudu na kuishi maisha yake kama kawaida.
Huyo anayesema wakate vichwa vya watu unaona ni mtu mzuri? Kwa nini hajakamatwa? Hawa wote kwenye hii video ni Wafuasi wa dini gani?
 
Watawala, ni kweli wamekuwa wakiwatesa viongozi wa wakristo.

Walitaka kumwua Padre Kitima. Akaponea chupuchupu baada ya kumjeruhi vibaya.

Walimteka padre wa Mwanza kule mkoani Ruvuma. Wakamsingizia kuwa alikuwa amejiteka kwa sababu ya madeni!!

Walitaka kumteka Askofu mkuu Renatis Mkwande wa jimbo kuu la Mwanza.

Na hayo yote yametokea wakati mtawala akiwa muislam.

Lakini hakuna shekhe wala ustadhi aliyewahi kutekwa wakati mtawala akiwa mkristo. Katika hali ya kawaida, nini tafsiri ya hali hii?
 
Huyo anayesema wakate vichwa vya watu unaona ni mtu mzuri? Kwa nini hajakamatwa? Hawa wote kwenye hii video ni Wafuasi wa dini gani?
View attachment 3585394
Bora jini likujualo.. Siko tayari kua upande wa Ulaya na Marekani kwenye ulimwengu huu. Hawa vinara wa kutuhubiria Demokrasia na Haki za binaadamu wamekua wavujanji wakubwa na kuteteana.

Wametufundisha ustaraabu,Haki za binaadam na utawala wa sheria lakini pia wao walitumia ustaarabu wao kupandikiza udanganyifu na uteganifu kwenye jamii zetu kwa maslahi yao. Kwa ulemwengu wa Elimu na Technology umetufungua sana. Hatukubali kuendeshwa na kudanganywa kwa propaganda za zamani.
 
Watawala, ni kweli wamekuwa wakiwatesa viongozi wa wakristo.

Walitaka kumwua Padre Kitima. Akaponea chupuchupu baada ya kumjeruhi vibaya.

Walimteka padre wa Mwanza kule mkoani Ruvuma. Wakamsingizia kuwa alikuwa amejiteka kwa sababu ya madeni!!

Walitaka kumteka Askofu mkuu Renatis Mkwande wa jimbo kuu la Mwanza.

Na hayo yote yametokea wakati mtawala akiwa muislam.

Lakini hakuna shekhe wala ustadhi aliyewahi kutekwa wakati mtawala akiwa mkristo. Katika hali ya kawaida, nini tafsiri ya hali hii?
Kama unaona Ted Cruz anawatetea jua umebakwa Akili. Marekani kafuck uchumi wa dunia. Marekani amekua sio mtu mzuri kwa dunia. China na Russia washagawana Tz. Wana mitikasi na Mikataba ya Madini(Russia)na ujenzi na miundombinu(China). Marekani anataka share yake na yeye na kwasababu Marekani sera zake zimemfilisi na pia Tz sio Kenya kua anaweza akaingia ingia tu. Inabidi Merekani kama kawaida yake aingie kwa fitina na siasa. Bora mchina anayengia kwa gia ya Ujenzi na Bishara kuliko Merekani anetaka kula kwa Ubabe,Vitisho na Fitna.
 
Ni kweli

Marekani inaweza kuwa na matatizo yake, lakini kamwe hayawezi hata kukaribiana na haya ya kwetu. Kwanza kabla ya kuropoka, jiulize, hapa Tanzania au Kenya na Uganda, Marekani imechukua kitu gani kwa ubabe?

Marekani inaweza kufanya uovu dhidi ya wengine kwa maslahi ya watu wake, huwezi kusikia Marekani inaua maelfu ya watu wake kwaajili ya madaraka au kuwalinda mafisadi, kama inavyofanyika hapa kwetu.

Hapa kwetu, ni aheri hata fisi ana ustaarabu kuliko sisi. Fisi yupo tayari kuwaua mbuzi ili yeye na watoto wake wapate chakula. Huwezi kusikia fisi anaua watoto wake eti ili yeye awe na chakula kingi, kwamba amepunguza walaji. Lakini kwetu, watu wapo tayari kuwaua wengine ili tu wao wabakie madarakni au wanapoiba na kufanya ufisadi wasihojiwe na yeyote! Sasa hapo, hao ukiwalinganisha na fisi, nani mstaarabu?
 
ChoiceVariable Stuxnet mnakubaliana na huu ushauri?
Ni ushauri mzuri, haina shida. Lakini
Mheshimiwa Seneta, ni dhahiri kuwa amepata taarifa zisizo na uhalisia kuhusu Tanzania. Kinyume na madai yake, nchi inapitia kipindi cha maridhiano ya kisiasa na ufunguzi mkubwa wa nafasi za kidemokrasia.
Hapa kuna ukweli wa hali ilivyo:
1.Magazeti na vyombo vya habari vilivyokuwa vimefungiwa awali sasa viko huru na vinafanya kazi bila bughudha.
2.Vyama vya upinzani sasa vinafanya mikutano ya hadhara nchi nzima kwa uhuru, jambo ambalo lilikuwa limepigwa marufuku miaka ya nyuma.
3.Serikali ilshirikiana na wadau wa siasa kufanya mabadiliko ya sheria za uchaguzi ili kuhakikisha haki na usawa.
Tanzania bado ni kisiwa cha amani na utulivu, ikizingatia utawala wa sheria na maendeleo ya watu wake.
 
Hii movie itaishia vibaya sana.
Hakuna vita mbaya kama ya udini, na hao America wakipanga lao huwezi kupangua..!!

Hapo washapata starting point kifuatacho ni watu kupewa silaha wauwane wenyewe kwa wenyewe then yeye anakuja katikati km staring kumaliza mchezo..
 
Bora kinuke tu ili angalau tuumie wote kama walivyotuumiza hawa wahuni kwa kutuulia ndugu zetu kwenye MO29.Tuko tayari kukiwasha endapo wamarekani watatupa vifaa vya kuwakabili hawa wahuni.
Mtu kama huyu inawezekana yupo sebleni kwa dada yake na bando la tsh 2100 anasubiri cha mchana.
 
Ted cruz akituchongea kua kuna machafuko yakidini Tanzania

Oyaaa Tanzania ipo hatarini. Wenye ulimwengu washaanzisha script kua Tanzania kuna machafuko ya kidini na Wakristo wanaonewa. Mzalendo hiki sio ukweli.

Ted Cruz wa Marekani ni muongo na mchonganishi. Tupambane tusichonganishwe zaidi. Kila Mkristo nchi hii anaabudu na kuishi maisha yake kama kawaida.
Ukitaka tusichonganishwe , kubali kuwa mliua watu Okt29, nanyi mtasamehewa, na baada ya hapo hatua stahiki zichukuliwe.
 
Wasitugombanisha na Ndugu zetu wa Damu Amanu:
Tanzania ndio Nchi pekee ambayo wananchi wake wanapendana sana na bila ubaguzi wowote:
Asanteni sana kwa kunisikiliza
 
Back
Top Bottom