Hakuna Cha uchonganishi na hakuna mwananchi anaye ichonganisha nchi na Duniani huko...
Ukweli ni ule ule Tendeni haki kwa mnao waongoza, Jalini maumivu yao, wapeni faraja pale inapobidi
Mfano mzuri, tumepoteza watu 518 kama wasemavyo lakini hakuna hata kiongozi anayeshtuka kuwa watu hao wamepoteza ndoto na Nguvu kazi katika Taifa hili, huenda katika hao waliofariki tumepoteza Dr. Bingwae, tumepoteza Rais, tumepoteza, Engineer, Huenda tumepoteza wasomi wakubwa, huenda katika waliofariki tumepoteza mwanasayansi mkubwa Duniani
Halafu simple unasimama kwenye uso wa wengi unaongea bila utu, kesho watu wakielezea kilichotokea mnawaona wanaisaliti nchi na kuona wanawagombanisha Duniani humo
Mwanadamu ukifika hatua ya kuona kifo au mwenzio anapata changamoto ni kawaida hata huko mbinguni tunakoomba Kila siku tufike hatuwezi kamwe kuuona hata uo uso wa Muumbaji wetu.
Shame on you guys