Nyie nyumbu wa Chadomo ndio punguaniCCM acheni ujinga wenu, mtatuponza wote.
Uzi ufungweIli tuwawin mapema hawa wajinga bas tukomeshe utekaji mapema, waliotekwa warejeshwe, watu waachwe wawe huru, ripoti za mauaji zitoke mapema, wafungwa wa kisiasa waachiwe, katiba iwekwe vizuri na sheria isitumike kukandamiza raia.
Huyo anayesema wakate vichwa vya watu unaona ni mtu mzuri? Kwa nini hajakamatwa? Hawa wote kwenye hii video ni Wafuasi wa dini gani?Ted cruz akituchongea kua kuna machafuko yakidini Tanzania
Oyaaa Tanzania ipo hatarini. Wenye ulimwengu washaanzisha script kua Tanzania kuna machafuko ya kidini na Wakristo wanaonewa. Mzalendo hiki sio ukweli.
Ted Cruz wa Marekani ni muongo na mchonganishi. Tupambane tusichonganishwe zaidi. Kila Mkristo nchi hii anaabudu na kuishi maisha yake kama kawaida.
Bora jini likujualo.. Siko tayari kua upande wa Ulaya na Marekani kwenye ulimwengu huu. Hawa vinara wa kutuhubiria Demokrasia na Haki za binaadamu wamekua wavujanji wakubwa na kuteteana.Huyo anayesema wakate vichwa vya watu unaona ni mtu mzuri? Kwa nini hajakamatwa? Hawa wote kwenye hii video ni Wafuasi wa dini gani?
View attachment 3585394
Kama unaona Ted Cruz anawatetea jua umebakwa Akili. Marekani kafuck uchumi wa dunia. Marekani amekua sio mtu mzuri kwa dunia. China na Russia washagawana Tz. Wana mitikasi na Mikataba ya Madini(Russia)na ujenzi na miundombinu(China). Marekani anataka share yake na yeye na kwasababu Marekani sera zake zimemfilisi na pia Tz sio Kenya kua anaweza akaingia ingia tu. Inabidi Merekani kama kawaida yake aingie kwa fitina na siasa. Bora mchina anayengia kwa gia ya Ujenzi na Bishara kuliko Merekani anetaka kula kwa Ubabe,Vitisho na Fitna.Watawala, ni kweli wamekuwa wakiwatesa viongozi wa wakristo.
Walitaka kumwua Padre Kitima. Akaponea chupuchupu baada ya kumjeruhi vibaya.
Walimteka padre wa Mwanza kule mkoani Ruvuma. Wakamsingizia kuwa alikuwa amejiteka kwa sababu ya madeni!!
Walitaka kumteka Askofu mkuu Renatis Mkwande wa jimbo kuu la Mwanza.
Na hayo yote yametokea wakati mtawala akiwa muislam.
Lakini hakuna shekhe wala ustadhi aliyewahi kutekwa wakati mtawala akiwa mkristo. Katika hali ya kawaida, nini tafsiri ya hali hii?
Kama unaona Ted Cruz anawatetea jua umebakwa Akili. Marekani kafuck uchumi wa dunia. Marekani amekua sio mtu mzuri kwa dunia. China na Russia washagawana Tz. Wana mitikasi na Mikataba ya Madini(Russia)na ujenzi na miundombinu(China). Marekani anataka share yake na yeye na kwasababu Marekani sera zake zimemfilisi na pia Tz sio Kenya kua anaweza akaingia ingia tu. Inabidi Merekani kama kawaida yake aingie kwa fitina na siasa. Bora mchina anayengia kwa gia ya Ujenzi na Bishara kuliko Merekani anetaka kula kwa Ubabe,Vitisho na Fitna.
Ni ushauri mzuri, haina shida. LakiniChoiceVariable Stuxnet mnakubaliana na huu ushauri?
Mtu kama huyu inawezekana yupo sebleni kwa dada yake na bando la tsh 2100 anasubiri cha mchana.Bora kinuke tu ili angalau tuumie wote kama walivyotuumiza hawa wahuni kwa kutuulia ndugu zetu kwenye MO29.Tuko tayari kukiwasha endapo wamarekani watatupa vifaa vya kuwakabili hawa wahuni.
Ukitaka tusichonganishwe , kubali kuwa mliua watu Okt29, nanyi mtasamehewa, na baada ya hapo hatua stahiki zichukuliwe.Ted cruz akituchongea kua kuna machafuko yakidini Tanzania
Oyaaa Tanzania ipo hatarini. Wenye ulimwengu washaanzisha script kua Tanzania kuna machafuko ya kidini na Wakristo wanaonewa. Mzalendo hiki sio ukweli.
Ted Cruz wa Marekani ni muongo na mchonganishi. Tupambane tusichonganishwe zaidi. Kila Mkristo nchi hii anaabudu na kuishi maisha yake kama kawaida.
Kanipigia simu nikujibu haoengei na Mbwa wa Samuya ila anataka ajibiwe na Mfuga Mbwa Samuya !Matako yake