Tanzania IQ ranking - amongst world's lowest but over Rwanda, Cuba, Ethiopia, Malawi etc

Tanzania IQ ranking - amongst world's lowest but over Rwanda, Cuba, Ethiopia, Malawi etc

Hayo ndio matatizo ya wazungu weupe kila siku wanataka kuonesha wao wako na akili kuliko sisi, The Gods must be Crazy is a good lesson. IQ ya msituni ya Bushmen hazikaribiani hata kidogo na ya yule mzungu eti.
 
hivi unahitaji IQ ya kiasi gani kujua kwamba sehemu ya kutolea kinyesi sio pa kuingiza dushe.....??! hapo ndo utajua hizi takwimu ni za uongo..
 
Yaani Africa hakuna hata nchi moja kwenye top 25:

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #54D427, colspan: 3"]Countries With The Highest Average IQ[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 7%, bgcolor: #54D427"] Rank[/TD]
[TD="width: 70%, bgcolor: #54D427"] Country[/TD]
[TD="width: 23%, bgcolor: #54D427"]Average IQ[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]Hong Kong[/TD]
[TD]107[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD]South Korea[/TD]
[TD]106[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD]Japan[/TD]
[TD]105[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD]Taiwan[/TD]
[TD]104[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD]Singapore[/TD]
[TD]103[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD]Austria[/TD]
[TD]102[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD]Germany[/TD]
[TD]102[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD]Italy[/TD]
[TD]102[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD]Netherlands[/TD]
[TD]102[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10[/TD]
[TD]Sweden[/TD]
[TD]101[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10[/TD]
[TD]Switzerland[/TD]
[TD]101[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12[/TD]
[TD]Belgium[/TD]
[TD]100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12[/TD]
[TD]China[/TD]
[TD]100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12[/TD]
[TD]New Zealand[/TD]
[TD]100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12[/TD]
[TD]United Kingdom[/TD]
[TD]100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]16[/TD]
[TD]Hungary[/TD]
[TD]99[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]16[/TD]
[TD]Poland[/TD]
[TD]99[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]16[/TD]
[TD]Spain[/TD]
[TD]99[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19[/TD]
[TD]Australia[/TD]
[TD]98[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19[/TD]
[TD]Denmark[/TD]
[TD]98[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19[/TD]
[TD]France[/TD]
[TD]98[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19[/TD]
[TD]Mongolia[/TD]
[TD]98[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19[/TD]
[TD]Norway[/TD]
[TD]98[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19[/TD]
[TD]United States[/TD]
[TD]98[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]25[/TD]
[TD]Canada[/TD]
[TD]97[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]25[/TD]
[TD]Czech Republic[/TD]
[TD]97[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]25[/TD]
[TD]Finland[/TD]
[TD]97[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #54D427, colspan: 3"]Countries With The Lowest Average IQ[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]Equatorial Guinea[/TD]
[TD]59[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD]Ethiopia[/TD]
[TD]63[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD]Sierra Leone[/TD]
[TD]64[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD]Democratic Republic of the Congo[/TD]
[TD]65[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD]Zimbabwe[/TD]
[TD]66[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD]Guinea[/TD]
[TD]66[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7[/TD]
[TD]Nigeria[/TD]
[TD]67[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8[/TD]
[TD]Ghana[/TD]
[TD]71[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9[/TD]
[TD]Tanzania[/TD]
[TD]72[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9[/TD]
[TD]Sudan[/TD]
[TD]72[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
kipimo cha IQ kinaweza kabisa kubias majibu

i wouldnt buy this kabisa
 
Wametumia vigezo vip kupata matokeo?

Wameangalia hotuba za M'kwere kisha wakaangalia na namna yake ya kujibu maswali. Wakaangalia namna anavyopotoshwa kila siku na wasaidizi wake.
Wakasema baaaaasi, yatosha......
Huyu ndio mwenye akili zaidi kuliko mtu yeyote nchini mwake. Waliompigia kura wana zero IQ
 
Naamini hizo statistics, na kila siku huwa nasema, umaskini wetu ni wa akili. Mungu katupa kila aina ya mali na vitu vya kuleta furaha duniani, ardhi safi, mazao kila aina, maji mengi, bahari, mafuta, gas, vito, dhahabu, uranium, fedha, shaba, wanyama kila aina, you name it we have it. Kasoro kimoja tu, Akili katunyima.

Hiyo ndio shani ya Mwenyeezi Mungu, siku zote hakupi vyote, na hao aliowapa akili hajawapa hata nusu ya tulivyokuwa navyo Tanzania lakini wao ndio wanajuwa kuvitumia.
 
Vigezo vilivyotumika ni kuangalia ukubwa wa nchi geographicaly, kisha kuangalia rasili mali zilizopo katika hiyo nchi kisha wanalinganisha na hali ya maisha wanayoishi wananchi wa nchi husika kama yanaendena na hali ya nchi.
Mfano tanzania tuna rasilimali nyingi lakini wananchi wake wengi ni masikini wa kutupwa.

DRC ni nchi kubwa sana na ina madini aina nyingi sana lakini wananchi wanaishi katika umasikini wa kutupwa.

ni lazma kuna kitu hakipo sawa kwa IQ za wananchi husika.
 
Hizi takwimu wanazipataje? wanachaguaje sample space zao?
 
Hehehe italians na spanish nao wako juu ee? Mimi sipingani sana na huo utafiti. Sio siri ON AVERAGE wengi wetu sio werevu ukilinganisha na wenzetu, kuna individual variations ndio lakini ukituchukua akili zetu ukapata wastani hatuwezi tia mguu kwa wa hongkong, japanese e.t.c. Jamani kuna miafrika mijinga jamani! hehehe mimi mpaka huwa naishia kucheka tu. Sikiliza conversation zetu kwenye mabasi, bungeni e.t.c. utabaki unastaajabu na usipostaajabu well it goes to prove my case again.
 
Hizi takwimu wanazipataje? wanachaguaje sample space zao?

Wanaingia JF wanatazama tunavyojibizana kijinga humu, hususan mada za kijinga za bavichaa, halafu wanajuwa kuwa sote IQ zetu ni kama bavichaa.
 
Sikweli labda wabunge wa CCM na mwenyekiti wao ndiyo wenye IQ ndogo nadhani walikuwa wanamaanisha hivyo
 
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #54D427, colspan: 3"]Countries With The Lowest Average IQ[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]Equatorial Guinea[/TD]
[TD]59[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD]Ethiopia[/TD]
[TD]63[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD]Sierra Leone[/TD]
[TD]64[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD]Democratic Republic of the Congo[/TD]
[TD]65[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD]Zimbabwe[/TD]
[TD]66[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD]Guinea[/TD]
[TD]66[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7[/TD]
[TD]Nigeria[/TD]
[TD]67[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8[/TD]
[TD]Ghana[/TD]
[TD]71[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9[/TD]
[TD]Tanzania[/TD]
[TD]72[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9[/TD]
[TD]Sudan[/TD]
[TD]72[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR="class: etags"]
[TD]Tags:
[h=2]statistics on IQ ? which country has the highest average IQ ? what contry has the lowest average IQ ? number of countries with an IQ above 100 ? what is the average IQ in the US united states american average IQ ? china average IQ ? japan average IQ ? average IQ by demographics[/h][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Reference
Countries with the Highest / Lowest Average IQ | Statistic Brain

Wasingekua wameitendea haki bongo kama wangeiacha,inastahili kwa kweli.mambo mengi wamekua wakituonea wanatuweka wa 129 kwa mfano fifa nk lakini hili hata wenyewe wamekubali tumewashinda,wametubania mda mrefu sana ila sasa nyota yetu imeng'aa.MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI.
 
Wasingekua wameitendea haki bongo kama wangeiacha,inastahili kwa kweli.mambo mengi wamekua wakituonea wanatuweka wa 129 kwa mfano fifa nk lakini hili hata wenyewe wamekubali tumewashinda,wametubania mda mrefu sana ila sasa nyota yetu imeng'aa.MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI.

Hizi ndio IQ zetu!

La haula.
 
Hizi takwimu wanazipataje? wanachaguaje sample space zao?

sample ni marais. RAIS DHAIFU, WANANCHI DHAIFU. RAIS BOGUS, WANANCHI BOGUS. RAIS CHEKACHEKA, WANANCHI CHEKACHEKA. RAIS VASCO DA GAMA, WANANCHI MAVASCO DA GAMA. RAIS MHUN WANANCHI WAHUN. RAIS HAJUI SABABU YA UMASIKINI WA WANANCHI WAKE, WANANCHI HAWAJUI SABABU YA UMASKINI WAO. Nadhani utakuwa umepata jibu kwa hayo machache.
 
Wameangalia hotuba za M'kwere kisha wakaangalia na namna yake ya kujibu maswali. Wakaangalia namna anavyopotoshwa kila siku na wasaidizi wake.
Wakasema baaaaasi, yatosha......
Huyu ndio mwenye akili zaidi kuliko mtu yeyote nchini mwake. Waliompigia kura wana zero IQ
Kama wametumia kigezo cha mfalme basi tulipaswa tuwe wa kwanza kwa IQ ndogo

 
mtu kazaliwa nchi imefunikwa na barafu anamlisha mtu kazaliwa nchi ina almasi,dhahabu,uranium,shaba,makaa ya mawe,weather ya kuchagua,ardhi yenye rutuba..............who has highest IQ between the two???
 
Back
Top Bottom