Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi takwimu wanazipataje? wanachaguaje sample space zao?
Wanaingia JF wanatazama tunavyojibizana kijinga humu, hususan mada za kijinga za bavichaa, halafu wanajuwa kuwa sote IQ zetu ni kama bavichaa.
watani wapo kundi gani?.
hivi una habari mjomba makaburi kauwawa?.
labda weye na shangazi yako ndio wenye IQ ndogo... usiwaingize watanzania wote katika kundi lako..
Pweza hujipalilia mkaa mwenyewe akichomwa. Kenya walishauwasha moto zamani, tatizo wanaendelea kujipalilia mkaa, hakuna amani tena huko. You know why? the curse of oil.
Wamepata oil nyingi sana, nyingine ni ya kuwaibia Somalia, fedha zote watazifanyia nini? lazima watafutiwe sababu ya kuzitumia haraka haraka kama zinavyoingia, njia rahisi? silaha.
Fikiri.
Vigezo vilivyotumika ni kuangalia ukubwa wa nchi geographicaly, kisha kuangalia rasili mali zilizopo katika hiyo nchi kisha wanalinganisha na hali ya maisha wanayoishi wananchi wa nchi husika kama yanaendena na hali ya nchi.
Mfano tanzania tuna rasilimali nyingi lakini wananchi wake wengi ni masikini wa kutupwa.
DRC ni nchi kubwa sana na ina madini aina nyingi sana lakini wananchi wanaishi katika umasikini wa kutupwa.
ni lazma kuna kitu hakipo sawa kwa IQ za wananchi husika.
mkuu huhutaji kutumia nguvu nyingi sana ktk hili.ukiangalia tu IQ ya mkuu wa nchi na cabinet yake unapata jibu la nchi nzima.
Wametumia vigezo vip kupata matokeo?
Jamani kuna miafrika mijinga jamani! hehehe mimi mpaka huwa naishia kucheka tu. Sikiliza conversation zetu kwenye mabasi, bungeni e.t.c. utabaki unastaajabu na usipostaajabu well it goes to prove my case again.
Ukweli na usemwe, hii kitu ni kweli kabisa, hata humu humu jf inadhihirisha kuwa watanzania tuna IQ ndogo sana!!!
Chuki zako zitakufikisha pabaya weye.
Nyie hata Kagame kawa:loco:shinda
Ukweli unakuuma.
Aisee umenichekesha sana. Ila ulichokisema hapo mimi nimekuwa nikikisema humu tokea hii forum ilipoanzishwa.
Na hata kabla hii haijaanzishwa, kitu hicho hicho nilikuwa nikikisema huko kwingine.
Mtu huhitaji kuwa genius kujua kuwa sisi akili zetu, kwa wastani, ni duni sana. Angalia tu tunavyoishi, basi! Siyo rocket science hata kidogo.
Nafurahi pia kuona sasa walau kuna watu wameanza kukubaliana nami.
hapo ni ugomvi wa kisiasa kwani nchi zote ziliorodhoshwa hapo zinaugomvi na mataifa ya magharibi
Hizi takwimu walizipata kwa kupima marais.Nina uhakika na hili kabisa