Tanzania IQ ranking - amongst world's lowest but over Rwanda, Cuba, Ethiopia, Malawi etc

Tanzania IQ ranking - amongst world's lowest but over Rwanda, Cuba, Ethiopia, Malawi etc

wewe mama yako , baba yako na ukoo wenu wote ndio mna iq ndogo, pumbaf mkubwa wew!

YouTube hakukuwa na haja ya kutoa kashfa kwa wazazi na ukoo wa mchangiaji unaharibu post uharibu jukwaa !tuukubali ukweli hata kama ni mchungu ni kweli kiwango chetu cha IQ kiko chini hili si tusi bali ni fact
 
wewe mama yako , baba yako na ukoo wenu wote ndio mna iq ndogo, pumbaf mkubwa wew!

Tabia ya ajabu kama hii ya kutukana...ndio inaonyesha IQ level....kwa sababu mtu mwerevu atakosoa/karipia kwa hoja wala sio matusi....we resort to insults when our thinking ability is clouded by anger...rekebisha!
 
Kwa upande mwingine kama DRC nchi za magharibi ndizo zinazochangia kwa kuwagombanisha na mwisho wa siku DRC wenyewe wanaonekana ndo wana matatizo japo siyo, yapo kwa wao wenye interest zao

Hivyo vikundi vinavyodanganywa na hizo/hiyo nchi ya magharibi wawape madini kisha wapewe silaha za kuua ndugu zao si ndo vichaa, we huoni hao wakongo ndo vichaa kabisa
 
Huu utafiti si wa kweli, yani Tanzania hiizidi Nigeria kwenye iq?
 
Kuna mtu cku moja hum alissema mjombe aliwahi kuchukua bag kwenye la shule kwenye ndege ili kujiokoa, I think kwa maana ya mjomba iQ n ndogo, ila raia tupo juu mkuu.
 
Nimesikitika na kufadhaishwa sana na utafiti huu
 
Hii ni Rank ya IQ ktk differnt countries Research imefanyka tar 1/1/2014

Note: alama ya % = average

Statistic Verification
Source: IQ and the Wealth of Nations
Research Date: 1.1.2014
Countries With The Highest Average IQ

Rank
Country
Average IQ


1 Hong Kong 107%

2 South Korea 106%

3 Japan 105%

4 Taiwan 104%

5 Singapore 103%

6 Austria 102%

6 Germany 102%

6 Italy 102%

6 Netherlands 102%

10 Sweden 101%

10 Switzerland 101%

12 Belgium 100%

12 China 100%

12 New Zealand 100%

12 United Kingdom 100%

16 Hungary 99%

16 Poland 99%

16 Spain 99%

19 Australia 98%

19 Denmark 98%

19 France 98%

19 Mongolia 98%

19 Norway 98%

19 United States 98%

25 Canada 97%

25 Czech Republic 97%

25 Finland 97%

Countries With The Lowest Average IQ

1 Equatorial Guinea 59%

2 Ethiopia 63%

3 Sierra Leone 64%

4 Democratic Republic of the Congo 65%

5 Zimbabwe 66%

5 Guinea 66%

7 Nigeria 67%

8 Ghana 71%

9 Tanzania 72%

9 Sudan 72%

Source

Countries with the Highest / Lowest Average IQ | Statistic Brain

:closed_2:
 
Kwanza ukisoma vizuri hata hiyo taarifa yenyewe Tz siyo ya pili kutoka mwisho ila ni ya tisa. Hata hivyo kupinga au kutokupinga usahihi wa taarifa hiyo vyote ni sawa, maana ipo dhana inayonesha kuwa IQ is almost evenly distributed world wide
 
Huwa wanapima wananchi wa nchi husika au viongozi wao?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
.
Hivi wametoa namna ya jinsi walivyofanya utafiti wao?
Waliwapima watu gani?
.
WAHEED SUDAY said:
IQ inapimwaje kwa wananchi wote kuwagroup katika kundi moja!?
.
hapana kaka !

Richard Lynn and Tatu Vanhanen have
constructed IQ estimates for many
countries using literature reviews,

international student assessment studies
and other methodologies to create
estimates. Other researchers have
criticized these estimates on theoretical
and methodological grounds, and
performed new analyses which corrected
some of Lynn and Vanhanen's errors.
Subsequent research by psychologists
such as Earl B. Hunt, Jelte Wicherts and
Heiner Rindermann has focused on
identifying the causes of national
differences in cognitive ability, and
understanding the nature of their
relationship to factors such as GDP, life
expectancy, and democratic governments.


Nations and intelligence - Wikipedia, the free encyclopedia

Nitafsiri mkuu? Gillah A Maggh
 
Last edited by a moderator:
Stupid analysis made by stupid people, for stupid persons to believe!
Weka nawe IQ yako ukamilishe stupidty.
 
Back
Top Bottom