Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzanians are richer than Kenyans, we feed you, and now we are are building your tourism industry. Kenya can't survive without Tanzania.
Hayo ni takwimu za wataliiSafari ya Watanzania Kenya biashara au utalii?
Watanzania wanapovuka mpaka hasa Namanga anandika sababu ya safari Kenya ni kuzuru .visiting relatives hivyo muda wa visa unaongezeka. Get your fact right.Hayo ni takwimu za watalii
Sasa Wizara ya Utalii wao ni wajinga wakusanye deta ambayo haiambatanishi kazi yao?Watanzania wanapovuka mpaka hasa Namanga anandika sababu ya safari Kenya ni kuzuru .visiting relatives hivyo muda wa visa unaongezeka. Get your fact right.
Mambo mengine commonsense inatosha full brain power is reserved for solving intractable problems.Sasa Wizara ya Utalii wao ni wajinga wakusanye deta ambayo haiambatanishi kazi yao?
Saa zingine ni vyema kutumia bongo
Common sense dictates The Ministry of Tourism handles matters tourism.Mambo mengine commonsense inatosha full brain power is reserved for solving intractable problems.
There are three kinds of lies: lies, damned lies, and statistics.Common sense dictates The Ministry of Tourism handles matters tourism.
Be relevantThere are three kinds of lies: lies, damned lies, and statistics.
Pesa tunazounda Kenya tunaweza nunua nchi yenu, balance tupeleke South Sudan. Tahadhari.Taarifa ya mapato ikoje?hua mnapata wageni kila mwaka lakini pesa kiduchu shida nini
Sent using Jamii Forums mobile app
GIGO- garbage in garbage out its that simple regards statistical conclusion and raw data for analysis.Be relevant
ukute hao wageni wanaong'ang'ania kuingia Kenya kutoka Tz ni wale wale tunaowajua wa kutembeza bakuli. sasa tangu lini ombaomba akawa 'big-money spender' kwenye nchi jirani iliyoendelea?Taarifa ya mapato ikoje?hua mnapata wageni kila mwaka lakini pesa kiduchu shida nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mmeendelea?[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kuwanga mchanaukute hao wageni wanaong'ang'ania kuingia Kenya kutoka Tz ni wale wale tunaowajua wa kutembeza bakuli. sasa tangu lini ombaomba akawa 'big-money spender' kwenye nchi jirani iliyoendelea?
ndugu, ukanda huu wa Afrika Mashariki, ni Kenya tu ndio iliyoendelea kushinda jirani zake. najua ni uchungu kwako na pia hutaki kuamini ila nakusihi uvumilie tu kwani hakuna namna na wala haito tokea nchi nyingine kuja kuwa na maendeleo kushinda Kenya mpaka siku dunia inaisha. yaani liwe liwalo, ukubali ukatae, utake usitake, uamini usiamini, unyoe au usuke, huwezi taja Afrika Mashariki bila Kenya.
Inawabidi muwatume omba omba Kenya?Tanzanians are richer than Kenyans, that's why your tourism industry inatutegemea sisi na wamarekani.
Sent using Jamii Forums mobile app