Tanzania is 2nd to USA in tourists visiting Kenya in 2018

Tanzania is 2nd to USA in tourists visiting Kenya in 2018

Msapere

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,165
Reaction score
1,543
1546866389440.png
 
Watanzania wanapovuka mpaka hasa Namanga anandika sababu ya safari Kenya ni kuzuru .visiting relatives hivyo muda wa visa unaongezeka. Get your fact right.
Sasa Wizara ya Utalii wao ni wajinga wakusanye deta ambayo haiambatanishi kazi yao?

Saa zingine ni vyema kutumia bongo
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Sasa Wizara ya Utalii wao ni wajinga wakusanye deta ambayo haiambatanishi kazi yao?

Saa zingine ni vyema kutumia bongo
Mambo mengine commonsense inatosha full brain power is reserved for solving intractable problems.
 
ukute hao wageni wanaong'ang'ania kuingia Kenya kutoka Tz ni wale wale tunaowajua wa kutembeza bakuli. sasa tangu lini ombaomba akawa 'big-money spender' kwenye nchi jirani iliyoendelea?
Nyie mmeendelea?[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kuwanga mchana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mmeendelea?

Sent using Jamii Forums mobile app
ndugu, ukanda huu wa Afrika Mashariki, ni Kenya tu ndio iliyoendelea kushinda jirani zake. najua ni uchungu kwako na pia hutaki kuamini ila nakusihi uvumilie tu kwani hakuna namna na wala haito tokea nchi nyingine kuja kuwa na maendeleo kushinda Kenya mpaka siku dunia inaisha. yaani liwe liwalo, ukubali ukatae, utake usitake, uamini usiamini, unyoe au usuke, huwezi taja Afrika Mashariki bila Kenya.
 
Back
Top Bottom