Tanzania is 2nd to USA in tourists visiting Kenya in 2018

Kuna aina ya utalii unaitwa VFR ( Visiting Friends and Relatives)

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ukianzia mpaka wa Horohoro Tanga mpaka Rorya Mara kuna ndugu wengi sana pande zote mbili za mpaka. Na wengi wanavuka mpaka bila kuchukuliwa taarifa zao.
 
Ndugu uelewa wako unatia shaka sana. Nani alikwambia mpaka wa Kenya na Tanzania uko kwa akina "omera" peke yake?
Mambo ya uelewa wangu hayatakusaidia kitu, rudi kwenye mada.
Btw, Endelea kuwaimbia hao nyang'au...huwajui wakenya vizuri wewe!
 
Watanzania wengi wanakuja kuiona SGR, Supehighway, Kuitumia JKIA wakielekea nchi za ulaya kuhepa Dictator Jiwe, Kubadilisha sarafu za dollars, kuiona Largest Port hapa EAC na kutafuta Kazi vile kwa ******** vyuma vimekaza.
 
Please, usituchekeshe, Kenya kuna SGR?, Kenya kuna Jobs?. Hahahahahahahahah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa walitucheka tulipopeleka kampeni zetu za Utalii kule Marekani na tulipoanzisha safari za moja Kwa moja Hadi Marekani... Sasa Marekani ndo hio inaongoza Kwa wageni
 
Mambo ya uelewa wangu hayatakusaidia kitu, rudi kwenye mada.
Btw, Endelea kuwaimbia hao nyang'au...huwajui wakenya vizuri wewe!
Wakenya wapo zaidi ya millions 40 wewe unawajua wakenya wangapi na wawapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…