Ukianzia mpaka wa Horohoro Tanga mpaka Rorya Mara kuna ndugu wengi sana pande zote mbili za mpaka. Na wengi wanavuka mpaka bila kuchukuliwa taarifa zao.Kuna aina ya utalii unaitwa VFR ( Visiting Friends and Relatives)
Sent from my iPhone using JamiiForums