Tanzania is 2nd to USA in tourists visiting Kenya in 2018

Tanzania is 2nd to USA in tourists visiting Kenya in 2018

Inawabidi muwatume omba omba Kenya?
Hahahaha, hiyo tourism board yenu ilipotoa hiyo idadi mnaipinga?. Bila Tanzania uchumi wenu lazima uta-collapse, mnatutegemea kwa kila kitu, hadi wanaume wa kuja kuwaolea Dada zenu wanatoka Tanzania, mkenya akiolewa na mtanzania ni sawa na kupata PhD.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukute hao wageni wanaong'ang'ania kuingia Kenya kutoka Tz ni wale wale tunaowajua wa kutembeza bakuli. sasa tangu lini ombaomba akawa 'big-money spender' kwenye nchi jirani iliyoendelea?
Kwa iyo wizara yenu ikaamua kuwajumuisha na hao. Wizara ya hovyo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, hiyo tourism board yenu ilipotoa hiyo idadi mnaipinga?. Bila Tanzania uchumi wenu lazima uta-collapse, mnatutegemea kwa kila kitu, hadi wanaume wa kuja kuwaolea Dada zenu wanatoka Tanzania, mkenya akiolewa na mtanzania ni sawa na kupata PhD.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tourism board imejichangana hiyo idadi jumla ya Watanzania wanaingia Kenya.
 
kenya ni number one Tanzania..watanzania wengi wanakuja for medication sio raha
Sasa inamaana hiyo board yenu ya utalii iliyotoa hizo data kwamba watanzania wanaongoza kwa utalii pamoja na USA hawana akili?. Hahahahaha, tutaendelea kuwatesa hadi mtakaa chini, Kenya doesn't have muscles to fight Tanzania. Hivi mkisikia miradi mingi tunatumia pesa yetu ulidhani tunacheza?, soon tutaipita USA na kuwa number one source of your tourists. Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tourism board imejichangana hiyo idadi jumla ya Watanzania wanaingia Kenya.
Hahahahaha, kama ambavyo IMF ilivyojichanganya baada ya kupewa fake data za uongo kuhusu uchumi wa nchi yenu hatimae wakaiweka Kenya katika kundi la Lower middle income countries wakati hata njaa imewashinda kupambana nayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanavyopenda kuanzisha chokochoko dhidi ya Kenya kwa kumata kamata Wakenya halafu wao wamejazana huku kwa malaki....
 
Hili ni ushahidi kuwa Tanzania na Kenya ni ndugu wa damu. Wengi wanakwenda Kenya kutembelea ndugu zap na siyo kutalii.
 
Next ******** move , banning Bongolalas from entering Kenya..
 
Nipo hapa Nairobi katika chuo cha serikali kwa ajili ya kusomea degree ya terrorism, ila wamesema lazima kwanza nianze kozi ya tribalism kwa mwaka mmoja ili nipate qualification ya kuwa good terrorist.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]..... field study ya ukabila kafanyie Jubilee, ya ugaidi utachagua kati ya Al shabaab au Mungiki. Uki graduate Al qaeeda wana kupa managerial position bila tabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo hapa Nairobi katika chuo cha serikali kwa ajili ya kusomea degree ya terrorism, ila wamesema lazima kwanza nianze kozi ya tribalism kwa mwaka mmoja ili nipate qualification ya kuwa good terrorist.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tell them you are an expert in terrorism, tell them you have been terrorising albinos by kidnapping them since your childhood.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom