mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
sina shida yoyote.Shida yako ni nini?
Nimekuja America kufanya mambo yangu,ni Mtanzania,kuja America ndio kunaniondolea haki yangu ya kua Mtanzania?
Tunapiga kura Embassy kila mwaka,mimi kua America kunakufanya unitolee maneno ya kibaguzi namna hii?
Nani anakosoa na yupo hapo hapo na yupo verified kwenye social media?
Nimekuomba mtaje hutaki
Idriss Sultan...jailed kwa katuni
Maria.....amefilisiwa
Fatuma...amefilisiwa
Masudi...kidnapped akaachiwa
Nani alieyopo verified kwenye platform yeyote anakosoa mapungufu yaliyopo ya hii serikali bila kutishiwa maisha yake?
Mtaje jina hapa tuwe wawazi!
Acha kutuzengua wewe
Hujaishi America,huo ujinga umeujulia wapi?
Utasikia CNN....kula CNN basi
Hakuna free country like America,I wish my country is like America,I wish!
The only country you can come and let your merit make you succeed sio CCM!
Wewe unaijua Kenya zaidi ya wanadamu wote?
Nani kakwambia wewe unaijua Kenya zaidi yangu au yule au fulani?
Wewe hicho cheo nani kakupa kwamba u know Kenya mpaka uweze ku-put others under the bus namna hii?
Ugomvi binafsi namjua?Simjui,sijwahi muona popote,simfahamu personally
Nina ugomvi na kukoswa maarifa kwake kunako-tucost mpaka leo hadi kesho hadi milele
Thats my beef!
ndugu una hasira na uchungu mpaka hufikiri kwa utulivu,wapi nimesema naijua kenya na marekani kukuzidi wewe???huko marekani mnakomilikiswa mpaka ak 47 ndiko kwenye uhuru wa mfano.hilo hatuna shida nalo kaa utulie huko.
hao watu wote uliowataja,sijui wamefungwa gereza gani hapa tanzania,ndio kwanza wanaendelea kukosoa kwa raha zao.
humjui magufu wala hujawahi kukutana naye,unaishi na unashiriki kukosoa mtu na serikali yake kwa kusikia kwa watu!!!wewe binafsi umeshakumbana na madhira yake au serikali yake lini??na kwanini??