Tanzania Is More Developed Than Kenya ..Discuss

Linganisha tu viwanda vya nchi hizo mbili na ufanisi wake utapata jibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ufanisi=Efficiency, kiwanda kina kua na ufanisi kama kina zalisha kwa gharama ndogo bidhaa bora. Land, power, Labour, malighafi, maji, hivi vyote ni cheaper zaidi Tz kuliko Kenya. Hii ni moja ya sababu Tz inavutia wawekezaji wengi kuliko Kenya. Kuna taharifa watanzania wengi hawana juu ya uzalishaji wa bidhaa na unafuu wa uzalishaji bidhaa Tz. Kwa ufanisi wa viwanda Kenya wako nyuma ya Tz. Hili litaenda likijidhihilisha kadri muda unavyo sogea. Msikalili Tz ya 90 na hii ya sasa hivi, ambayo inaongoza E.A kwa kuzalisha nguo, vinywaji baridi, beer, cement, wine, plastic products, secondary steel, pipes, leather products, ceramics e.t.c. Mpaka 2025 Tz pia itakua inaongoza uzalishaji Umeme, madawa, sukari na mengine mengi. Inshort Kenya does not stand a chance kwa Tz inapokuja ishu ya manufacturing. Mwekezaji ndani ya Tz ana access ya soko kubwa na unafuu wa uzalishaji. Labda uongelee service industry ambayo pia tuna muondoa kwenye reli taratibu, mfano utalii, rail ways, construction, port services kote uko ana isoma namba. Kenya amejitahidi sana kwenye financial services.

Statistics to support your usual blubbering. Hata wewe unajua Tz ni ya Viwonder sio viwanda.
 
Back
Top Bottom