eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Ahaaa haaa haaa
so did is only you can SAY.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I didn't know
Lol...jifunze kutumia misamiati ipasavyo. Acha kuitumia kiholelaholela😀
Lol..okay logophile. Sina LA ziada
Yes. It means that majority of africans in Tz are well off than those poor African squatters in SA!
Ufanisi=Efficiency, kiwanda kina kua na ufanisi kama kina zalisha kwa gharama ndogo bidhaa bora. Land, power, Labour, malighafi, maji, hivi vyote ni cheaper zaidi Tz kuliko Kenya. Hii ni moja ya sababu Tz inavutia wawekezaji wengi kuliko Kenya. Kuna taharifa watanzania wengi hawana juu ya uzalishaji wa bidhaa na unafuu wa uzalishaji bidhaa Tz. Kwa ufanisi wa viwanda Kenya wako nyuma ya Tz. Hili litaenda likijidhihilisha kadri muda unavyo sogea. Msikalili Tz ya 90 na hii ya sasa hivi, ambayo inaongoza E.A kwa kuzalisha nguo, vinywaji baridi, beer, cement, wine, plastic products, secondary steel, pipes, leather products, ceramics e.t.c. Mpaka 2025 Tz pia itakua inaongoza uzalishaji Umeme, madawa, sukari na mengine mengi. Inshort Kenya does not stand a chance kwa Tz inapokuja ishu ya manufacturing. Mwekezaji ndani ya Tz ana access ya soko kubwa na unafuu wa uzalishaji. Labda uongelee service industry ambayo pia tuna muondoa kwenye reli taratibu, mfano utalii, rail ways, construction, port services kote uko ana isoma namba. Kenya amejitahidi sana kwenye financial services.Linganisha tu viwanda vya nchi hizo mbili na ufanisi wake utapata jibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Statistics to support your usual blubbering. Hata wewe unajua Tz ni ya Viwonder sio viwanda.Ufanisi=Efficiency, kiwanda kina kua na ufanisi kama kina zalisha kwa gharama ndogo bidhaa bora. Land, power, Labour, malighafi, maji, hivi vyote ni cheaper zaidi Tz kuliko Kenya. Hii ni moja ya sababu Tz inavutia wawekezaji wengi kuliko Kenya. Kuna taharifa watanzania wengi hawana juu ya uzalishaji wa bidhaa na unafuu wa uzalishaji bidhaa Tz. Kwa ufanisi wa viwanda Kenya wako nyuma ya Tz. Hili litaenda likijidhihilisha kadri muda unavyo sogea. Msikalili Tz ya 90 na hii ya sasa hivi, ambayo inaongoza E.A kwa kuzalisha nguo, vinywaji baridi, beer, cement, wine, plastic products, secondary steel, pipes, leather products, ceramics e.t.c. Mpaka 2025 Tz pia itakua inaongoza uzalishaji Umeme, madawa, sukari na mengine mengi. Inshort Kenya does not stand a chance kwa Tz inapokuja ishu ya manufacturing. Mwekezaji ndani ya Tz ana access ya soko kubwa na unafuu wa uzalishaji. Labda uongelee service industry ambayo pia tuna muondoa kwenye reli taratibu, mfano utalii, rail ways, construction, port services kote uko ana isoma namba. Kenya amejitahidi sana kwenye financial services.
Sent using Jamii Forums mobile app