Tanzania isiwe na vazi moja tu la Taifa, tuwe na mavazi rasmi matano kutoka katika makabila yetu

Kuna pande kuu nne za dunia mkuu. Mashariki, Magharibi, Kaskazini na Kusini. Hizo nyanda za juu kusini ni sehemu za kusini na hao kanda ya ziwa wangeitwaje kama kusingekuwa na hilo ziwa? Hao ni kaskazini tu mkuu.
Inawezekana ata shule hajaenda huyo mkuu
 
Sasa ndio umeandika nini hapa?
 
Mambo ya vazi la taifa ni ushamba wa kiwango cha juu.
Hamuelewei ni jinsi gani mavazi yanakuwa maarufu na kupendwa na watu hadi yanavaliwa na kila mtu bila hata kuamuliwa na vikao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…