Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu "Le Grande Mopao Mokonzi" ndio jamaa gani mzee baba?Le Grande Mopao Mokonzi Mavazi Yake Yatafaa Sana Iwapo Yatachaguliwa Kuwa Mojawapo La Vazi La Taifa.
Inawezekana ata shule hajaenda huyo mkuuKuna pande kuu nne za dunia mkuu. Mashariki, Magharibi, Kaskazini na Kusini. Hizo nyanda za juu kusini ni sehemu za kusini na hao kanda ya ziwa wangeitwaje kama kusingekuwa na hilo ziwa? Hao ni kaskazini tu mkuu.
Hawezi kukujibu hiliKwani hao Wanyaturu, Wanyiramba, Warangi, Wamasai, Wachagga na Wapare, Dodoma ni mkoa wa asili yao? Mbona sasa ndio makao makuu ya taifa lao?...
Saaaf sanaMbona Dodoma ndio makao makuu ya nchi wakati ndio chimbuko la kabila la wagogo na mengine kadhaa wakati mikoa mingine haijateuliwa na kupewa hadhi hiyo?
Huyu "Le Grande Mopao Mokonzi" ndio jamaa gani mzee baba?
Sasa ndio umeandika nini hapa?Nadhani hakuna kabila linalowakilisha jingine, mfano itamkwe kuwa vazi la Wagogo linawakilisha pia Wanyaturu, Wanyiramba au Warangi wakati si vazi lao. Pia mavazi ya Wamasai kuwakilisha Wachagga na Wapare wakati si mavazi yao.
Pia umetumia kigezo kipi kugawa kanda? hakuna Kanda ya Ziwa wala Kanda ya Nyanda za juu Kusini.
Anyway sidhani kuwa hii inaweza kuwa priority, labda kwa wabunifu wa mavazi iwe fursa.
Wengi wanavaa na tunavaa mitumba hasa jeans. Jeans ni kama vazi la taifa bila kulazimishana. Linatosha tu.
Hayana umuhimu kwako ila kwetu sisi wachache yana umuhimu sana tu mkuuHayana umuhimu kabisa Tena ndio chanzo Cha ubaguz wa kikabila
Umemuumbia vizuri. Watu wengine wanapenda kulazimisha kufananaHayana umuhimu kwako ila kwetu sisi wachache yana umuhimu sana tu mkuu
Mshamba huyo achana naye tuSasa ndio umeandika nini hapa?
Naaam mutu ya congoKoffi Chaz Antwaa Olomide
Dada wa chuuuumaaaa unatisha my wanguSaaaf sana
Wewe ni ID moja na Soja? Nimeuliza tu, don't panicHawezi kukujibu hili
Punguza dharau kwa wenzio mkuuInawezekana ata shule hajaenda huyo mkuu
Huyo ni Kofi OlomideHuyu "Le Grande Mopao Mokonzi" ndio jamaa gani mzee baba?
Jamaa Koffii anazeeka harakaLe Grande Mopao Mokonzi Mavazi Yake Yatafaa Sana Iwapo Yatachaguliwa Kuwa Mojawapo La Vazi La Taifa.
Alikimbia shule huyooTanga ipo Mashariki mkuu
Ushamba mzigo. Huyo jamaa ni mshamba kama MuhayaKuna pande kuu nne za dunia mkuu. Mashariki, Magharibi, Kaskazini na Kusini. Hizo nyanda za juu kusini ni sehemu za kusini na hao kanda ya ziwa wangeitwaje kama kusingekuwa na hilo ziwa? Hao ni kaskazini tu mkuu.
A very good questionKwani hao Wanyaturu, Wanyiramba, Warangi, Wamasai, Wachagga na Wapare, Dodoma ni mkoa wa asili yao? Mbona sasa ndio makao makuu ya taifa lao?...