Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,262
- 5,885
Sio unabii au utabiri bali ni hitimisho ambalo nimekuja nalo baada ya kupitia mambo mbali mbali katika hii nchi.
Habari za wakati huu wasomaji wa JF ndani na nje ya mipaka ya taifa hili.
Hii nchi ina watu na vitu vya kushangaza sana.Nianze ni hii;hali ya sintofahamu inayohusu mvua kubwa zinazotarajiwa.Mamlaka ya hali ya hewa zimetoa tahadhari juu ya mvua kubwa.Kinachonishangaza ni kwamba baada ya hii tahadhari watu ndio wamepata muamko wa kufanya usafi.
Nimeona baadhi ya mamlaka za miji zikikumbuka kwamba kuna mitaro ilishaziba toka enzi na enzi inazibuliwa sasa.Swali langu ni kwamba kama isingekuwa hiyo tahadhari hii mitaro ingebaki michafu sio? na vipi tunajipanga na hizo mvua kubwa,what if,kukatokea ukame na mvua zikaenda kwingine tutabadili mipango yetu tena?(ndio maana nikahitimisha kwamba safari yetu ya mageuzi itatuchukua muda mrefu)
Jambo jingine la ajabu tena ni hili hapa.Kiongozi wa upinzani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ndugu Tundulissu mpaka sasa yapata mwaka na miezi ya kutosha anashikiliwa(makosa yake sitaki kusema ni ya kweli au ya uongo,fuatilia mwenendo wa kesi utajua) lakini sija ona mwamko wa watu katika hili jambo kutoa msukumo kwa mamlaka husika kutenda haki kwa kiongozi huyu.Swali langu ni kwamba CHADEMA haina wafuasi loyal au haina ushawishi katika hili taifa kufikia kiongozi mkubwa hivi anafanyiwa dhuluma ambayo inaonekana wazi?(ndio maana hitimisho langu likasukumwa na hoja kama hizi)
Mwisho kabisa,Suala la msanii Dudu baya(jina lake halisi sijalitafuta).Nimeshangazwa sana na kitendo cha BASATA kumfungia pamoja na kumtoza faini.Sitaki kuamini kwamba kauli mbiu yake ya kupinga ushoga ina shida sana kama kweli tunaka kujenga jamii imara na kusimamia maadili.Naweza nisikubaliane nae juu ya kushambulia baadhi ya watu lakini kauli mbiu yake ilikuwa na nia ya kukumbusha watu kusimama katika misingi imara hasa kwa malezi ya mtoto wa kiume.
Ni hayo tu kwa leo lakini ikiwa tunahitaji kujenga taifa imara inabidi tuamke.Muda tulio lala umetosha.
Ndefu sana yani jinsi mambo yanavyokwenda ni ngumu kujua lini hili giza litaondokaNaunga mkono hoja yako, kama taifa tuna safari ndefu
Siasa zetu zinamchango mkubwa sana kwenye kulididimiza taifa hiliNdefu sana yani jinsi mambo yanavyokwenda ni ngumu kujua lini hili giza litaondoka
..analysis yako ikizingatia mazingira ya ufanyaji siasa Tanzania huwezi kuuliza swali kwamba chadema haina wanachama wanaokitetea chama na viongozi wao..chama kilifungiwa kufanya siasa, hakina fedha, utekwaji, kukamatwa kwa wanachama na wengine kuuliwa, kesi nyingi feki za wanachama nk.. kwa hali ya kawaida hutarajii kuona chama kina mtu hata mmoja baada ya kufunguliwa, na watawala hilo ndio lilikuwa lengo lao..lkn chama bado kipo na pengine kimeimarika zaidi, kwa hivyo si sahihi kuweka hitimisho ulilofikia..vipi wengine mfano ccm wenyewe ambao makamu wao wa rais kuondolewa na kufutwa uanachama kizembe namna hiyo..umesikia hata mwanachama mmoja anahoji jambo hili..? wao ni shupavu tofauti na chadema..?Sio unabii au utabiri bali ni hitimisho ambalo nimekuja nalo baada ya kupitia mambo mbali mbali katika hii nchi.
Habari za wakati huu wasomaji wa JF ndani na nje ya mipaka ya taifa hili.
Hii nchi ina watu na vitu vya kushangaza sana.Nianze ni hii;hali ya sintofahamu inayohusu mvua kubwa zinazotarajiwa.Mamlaka ya hali ya hewa zimetoa tahadhari juu ya mvua kubwa.Kinachonishangaza ni kwamba baada ya hii tahadhari watu ndio wamepata muamko wa kufanya usafi.
Nimeona baadhi ya mamlaka za miji zikikumbuka kwamba kuna mitaro ilishaziba toka enzi na enzi inazibuliwa sasa.Swali langu ni kwamba kama isingekuwa hiyo tahadhari hii mitaro ingebaki michafu sio? na vipi tunajipanga na hizo mvua kubwa,what if,kukatokea ukame na mvua zikaenda kwingine tutabadili mipango yetu tena?(ndio maana nikahitimisha kwamba safari yetu ya mageuzi itatuchukua muda mrefu)
Jambo jingine la ajabu tena ni hili hapa.Kiongozi wa upinzani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ndugu Tundulissu mpaka sasa yapata mwaka na miezi ya kutosha anashikiliwa(makosa yake sitaki kusema ni ya kweli au ya uongo,fuatilia mwenendo wa kesi utajua) lakini sija ona mwamko wa watu katika hili jambo kutoa msukumo kwa mamlaka husika kutenda haki kwa kiongozi huyu.Swali langu ni kwamba CHADEMA haina wafuasi loyal au haina ushawishi katika hili taifa kufikia kiongozi mkubwa hivi anafanyiwa dhuluma ambayo inaonekana wazi?(ndio maana hitimisho langu likasukumwa na hoja kama hizi)
Mwisho kabisa,Suala la msanii Dudu baya(jina lake halisi sijalitafuta).Nimeshangazwa sana na kitendo cha BASATA kumfungia pamoja na kumtoza faini.Sitaki kuamini kwamba kauli mbiu yake ya kupinga ushoga ina shida sana kama kweli tunaka kujenga jamii imara na kusimamia maadili.Naweza nisikubaliane nae juu ya kushambulia baadhi ya watu lakini kauli mbiu yake ilikuwa na nia ya kukumbusha watu kusimama katika misingi imara hasa kwa malezi ya mtoto wa kiume.
Ni hayo tu kwa leo lakini ikiwa tunahitaji kujenga taifa imara inabidi tuamke.Muda tulio lala umetosha.
Hii ni shida sana.Kama tumepata mtu ambaye yuko tayari kujitoa sadaka kwa ajili yetu lakini baada ya kukamatwa na mamlaka wote tumeingia mitini na kubaki kuandika tu mitandaoni sidhani kama kuna siku tutapata tena mtu wa kujitoa tena.Kiufupi inakatisha tamaaMtanzania wa kawaida akiandika uzi mtandaoni wa kumsifia Lissu au akishatoa ile michango ya Tonetone anaamini amemaliza jukumu.
Funzo kwa viongozi wa upinzania, usije uka take risk kwa imani kuna watanzania watakupambania. Take risk kwa sababu upo tayari kwa matokeo yoyote yatakayokujia.
Haikatishi tamaa.Hii ni shida sana.Kama tumepata mtu ambaye yuko tayari kujitoa sadaka kwa ajili yetu lakini baada ya kukamatwa na mamlaka wote tumeingia mitini na kubaki kuandika tu mitandaoni sidhani kama kuna siku tutapata tena mtu wa kujitoa tena.Kiufupi inakatisha tamaa
Yeah nakubaliana na wewe.Kama ni suala la uhaba wa fedha nadhani kulikuwa na mikakati ya kuchangia chama japo ilipata upinzani mkubwa kutoka kwenye mamlaka(hili nalijua)...analysis yako ikizingatia mazingira ya ufanyaji siasa Tanzania huwezi kuuliza swali kwamba chadema haina wanachama wanaokitetea chama na viongozi wao..chama kilifungiwa kufanya siasa, hakina fedha, utekwaji, kukamatwa kwa wanachama na wengine kuuliwa, kesi nyingi feki za wanachama nk.. kwa hali ya kawaida hutarajii kuona chama kina mtu hata mmoja baada ya kufunguliwa, na watawala hilo ndio lilikuwa lengo lao..lkn chama bado kipo na pengine kimeimarika zaidi, kwa hivyo si sahihi kuweka hitimisho ulilofikia..vipi wengine mfano ccm wenyewe ambao makamu wao wa rais kuondolewa na kufutwa uanachama kizembe namna hiyo..umesikia hata mwanachama mmoja anahoji jambo hili..? wao ni shupavu tofauti na chadema..?
Yeah siasa kiasi chake imevuruga mambo mengi lakini hata sisi wananchi tuna mchango mkubwa katika uharibifu huu maana hata hawa viongozi wa kisiasa nguvu tunawapa sisiSiasa zetu zinamchango mkubwa sana kwenye kulididimiza taifa hili
Kiongozi kwenye katiba ntakubaliana na wewe lakini kwa jinsi watanzania tunavyopokea mambo ni kwamba hata katiba inaweza ikabadili machache sana.Tuamke kwanza,tumelala sanaHata miaka 1000 haitoshi....katiba ni uozo ...... wananchi nao madunduka
Hao viongozi hivi sasa nguvu zao wanazipata kwenye vyombo vya ulinzi kama polisi na jeshi, sasa hivi wananchi wa kawaida wanatuona kama vibwengo tuYeah siasa kiasi chake imevuruga mambo mengi lakini hata sisi wananchi tuna mchango mkubwa katika uharibifu huu maana hata hawa viongozi wa kisiasa nguvu tunawapa sisi
Hii ni shida sana naona kuna haja ya hii nchi kutoka kwenye utawala wa kidemokrasia na kuingia utawala wa kijeshi sasa kama wananchi hawana tena sautiHao viongozi hivi sasa nguvu zao wanazipata kwenye vyombo vya ulinzi kama polisi na jeshi, sasa hivi wananchi wa kawaida wanatuona kama vibwengo tu
Yeah mabadiliko yapo njiani lakini yanaweza kugusa sehemu tu kidogo lakini kupata picha kubwa inabidi kila mtu atoke usingiziniNinaunga mkono hoja ila suala la muda Imani yangu inaniambia muda si mrefu mabadiliko yatapatikana,
Mabadiliko yataanza ndani ya CCM mana kwasasa kilichobaki ni unafiki tu.
naunga mkonokatiba inaweza ikabadili machache sana.Tuamke kwanza,tumelala sana
Huo utawala wa kidemokrasia hatujawahi kuwa nao ni kiini macho tu cha kinachoitwa demokrasia, zile Structural Adjustment Programmes (SAP) zilizo be introduced miaka ya 80s na World bank na IMF kusaidia nchi zilizokuwa hoi taabani za hapa Africa ndiyo zilitufanya tujidai tumeingia mfumo wa kidemokrasia na kuleta vyama vingi kama ushahidi ila kwenye practice bado mi single party state with socialistic roots, hatujawahi kuwa na utawala wa kidemokrasia unaotokana na maamuzi ya wananchi, ni maigizo tuHii ni shida sana naona kuna haja ya hii nchi kutoka kwenye utawala wa kidemokrasia na kuingia utawala wa kijeshi sasa kama wananchi hawana tena sauti
Yeah SAP ilikuja na conditions kibao nadhani multiparty ikiwa miongoni.Kosa kubwa tunalolifanya ni kushindwa kuwa na utambulisho wetu rasmi katika kila nyanja(Siasa,uchumi na mambo ya kijamii)Huo utawala wa kidemokrasia hatujawahi kuwa nao ni kiini macho tu cha kinachoitwa demokrasia, zile Structural Adjustment Programmes (SAP) zilizo be introduced miaka ya 80s na World bank na IMF kusaidia nchi zilizokuwa hoi taabani za hapa Africa ndiyo zilitufanya tujidai tumeingia mfumo wa kidemokrasia na kuleta vyama vingi kama ushahidi ila kwenye practice bado mi single party state with socialistic roots, hatujawahi kuwa na utawala wa kidemokrasia unaotokana na maamuzi ya wananchi, ni maigizo tu