Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Unajua Kila chama huwa kinajengwa kwa misingi ya aina fulani, kwa kuwa sisi tangu uhuru tulianza na TANU baadae ika merge na ASP kuwa CCM ni chama hicho hicho na kimeshaprove kua kwao suala la uwajibikaji na uwazi kwa wananchi siyo kipaumbele chao , wao uwajibikaji na utii ni kwa kiongozi wao (mwenyekiti) ambaye ndiyo Rais, ndiyo maana tunataka mabadiliko tuone chama kingine kitakujaje, sitaki kuamini kama ccm inaweza kuleta mabadiliko nahisi nia zao na dhamiri hazipo kwaajili ya kutumikia wananchiYeah SAP ilikuja na conditions kibao nadhani multiparty ikiwa miongoni.Kosa kubwa tunalolifanya ni kushindwa kuwa na utambulisho wetu rasmi katika kila nyanja(Siasa,uchumi na mambo ya kijamii)
Tumekuwa watu wa kulaumu sana influence za mataifa ya nje kuliko kutafuta suluhisho.Suala la uwazi,uwajibikaji na maadili ya watu na viongozi sidhani kama linahitaji tuwe multiparty au single party au kuwa socialist au capitalist ni suala ambalo inabidi liwe wajibu wa kila anayejitambulisha kama mtanzania tofauti na hapo safari hii itaendelea kuwa ngumu.
NB:Nyerere kuna vitu vingi alishindwa katika hili taifa
Yeah kusema ukweli CCM ni janga kwa hili taifa.CCM haina mpango wa kufanya mageuzi katika hili taifa bali malengo yao ni kuendelea kuimarisha chama chao hili kiendelee kutawala(vyama vyote vinaweza kuwa na falsafa za namna hii sitaki nilalie CCM pekee).Unajua Kila chama huwa kinajengwa kwa misingi ya aina fulani, kwa kuwa sisi tangu uhuru tulianza na TANU baadae ika merge na ASP kuwa CCM ni chama hicho hicho na kimeshaprove kua kwao suala la uwajibikaji na uwazi kwa wananchi siyo kipaumbele chao , wao uwajibikaji na utii ni kwa kiongozi wao (mwenyekiti) ambaye ndiyo Rais, ndiyo maana tunataka mabadiliko tuone chama kingine kitakujaje, sitaki kuamini kama ccm inaweza kuleta mabadiliko nahisi nia zao na dhamiri hazipo kwaajili ya kutumikia wananchi
NB: Nyerere ndiyo Architect wa mfumo wote, hilo halikwepeki, kuanzia premature entrance to socialist system, union, hadi kwenye constitution, damage yake hadi Leo inaonekana
..sidhani km ni kulala sabb mambo mengi ya hovyo yana uungwaji mkono wa kiwango kikubwa..mpira kwa mfano, mambo ya ulimbwende/umiss nk jambo kubwa unaweza kuona linalofanya kuwa hivi, ni kiwango duni sana cha uwezo wa maarifa kujitambua na kufanya maamuzi at individual level, hali hii inachangiwa na msingi mbovu kabisa wa mfumo wa elimu ya tanzania..kati ya matokeo ambayo mfumo wa elimu unatarajiwa kutoa..ni kumkomboa mtu kifikra, kumpa mtu maarifa ya kukabiliana na changamoto zote zinazotokea, kifupi kumbadilisha mtu kimtizamo kuyaona mambo kwa upana na uhuru kabla ya kuamua..elimu ya tanzania imebaki kuwa ya makaratasi tu..na kwa trend hii ya hawa gen z, count 20 to 30 years ahead nchi itatawaliwa na wageni kwa ridhaa yao kabisa! Nikupe mfano..pamoja na rasilimali nyingi nchi bado inalalamika bei ya saruji kupanda kila mwaka na haijawah kushuka na hakuna jibu..tembea tembea mitaani kila mahali kumening'inizwa matambala..nguo na viatu, hivi nguo na viatu ndio hitaji kubwa sana la watanzania..? Uchumi wa matambala..ukifika airport robo tatu ya wanaoingia ni wachina na wahindi..kuna future ya nchi kweli hapo kujitegemea..? Taswira ya aina hii inakupa signal kwamba, jamii husika ina udumavu kwenye utambuzi wa mambo ya msingi na uharaka wa kufanya maamuzi..Yeah nakubaliana na wewe.Kama ni suala la uhaba wa fedha nadhani kulikuwa na mikakati ya kuchangia chama japo ilipata upinzani mkubwa kutoka kwenye mamlaka(hili nalijua).
Kuhusu makamu wa rais kutoonekana mpaka sasa siwezi kuongea mengi lakini hili pia linakupa picha kiasi gani tumelala.
Sipo hapa kuhukumu zaidi bali ni kueleza ni kivipi bado sisi tumelala sana hasa kuhusu mambo yanayohusu ustawi wa watu na taifa kwa ujumla
Yeah natamani nione kitu cha tofauti maana hii nchi inakatisha tamaa.Sema kama ni maandamano basi safari inayokuja inabidi baadhi ya mambo yaboreshwe hili tupate matokeo chanya(hasa suala zima la uandaaji wake na taarifa sahihi pamoja na elimu ipite kwanza kuepusha watu kurudi nyuma nguvu inapotumika)Haitafika hata miaka 30 subiri hiki kizazi Cha vijana wa Nyerere kiishe Kama umri wako bado unaruhusu utayashuhudia hayo
Maandamano ya mwaka Jana ni signal ya kwanza kubwa kwamba mambo hayawezi kwenda Kama yanavyokwenda na watu wakakaa kimya tu
Yeah kuna vitu vinapewa headlines kubwa ambavyo kweli mchango wake ni mdogo kweli kufikia mageuzi ya kweli...sidhani km ni kulala sabb mambo mengi ya hovyo yana uungwaji mkono wa kiwango kikubwa..mpira kwa mfano, mambo ya ulimbwende/umiss nk jambo kubwa unaweza kuona linalofanya kuwa hivi, ni kiwango duni sana cha uwezo wa maarifa kujitambua na kufanya maamuzi at individual level, hali hii inachangiwa na msingi mbovu kabisa wa mfumo wa elimu ya tanzania..kati ya matokeo ambayo mfumo wa elimu unatarajiwa kutoa..ni kumkomboa mtu kifikra, kumpa mtu maarifa ya kukabiliana na changamoto zote zinazotokea, kifupi kumbadilisha mtu kimtizamo kuyaona mambo kwa upana na uhuru kabla ya kuamua..elimu ya tanzania imebaki kuwa ya makaratasi tu..na kwa trend hii ya hawa gen z, count 20 to 30 years ahead nchi itatawaliwa na wageni kwa ridhaa yao kabisa! Nikupe mfano..pamoja na rasilimali nyingi nchi bado inalalamika bei ya saruji kupanda kila mwaka na haijawah kushuka na hakuna jibu..tembea tembea mitaani kila mahali kumening'inizwa matambala..nguo na viatu, hivi nguo na viatu ndio hitaji kubwa sana la watanzania..? Uchumi wa matambala..ukifika airport robo tatu ya wanaoingia ni wachina na wahindi..kuna future ya nchi kweli hapo kujitegemea..?
Nakuunga mkono kwenye hilo, ila isiwe sababu ya kushindwa kuamini kuwa Kuna chama kinaweza kuja kufill role ya ccm na pengine kikawa na unafuu kuliko ccm, naamini vyama vipo na vinaweza kuwa na angalau ahueni, no political party is perfect but the degree of imperfection may slightly or significantly differ, we should not lose hope for a brighter and prosperous future.Yeah kusema ukweli CCM ni janga kwa hili taifa.CCM haina mpango wa kufanya mageuzi katika hili taifa bali malengo yao ni kuendelea kuimarisha chama chao hili kiendelee kutawala(vyama vyote vinaweza kuwa na falsafa za namna hii sitaki nilalie CCM pekee).
Nje ya hivi vyama inabidi tuwe na dira ya taifa ambayo haitafungamana moja kwa moja na chama cha kisiasa bali ustawi wa watu na taifa kwa ujumla.Tofauti na hapo chama chochote kinaweza kupata kibali na kikaendeleza hii michezo ya CCM ya kuangalia maslahi ya chama na sio watu na taifa kwa ujumla
..hawajalala, wako macho lkn kiwango cha utambuzi wa hali yao na priority zao ni duni au ni dhaifu sana, watabadilikaje..sijui!Yeah kuna vitu vinapewa headlines kubwa ambavyo kweli mchango wake ni mdogo kweli kufikia mageuzi ya kweli.
Ndio maana hata wewe ukipata muda usisite kutoa elimu pale unapopata nafasi.Matokeo yanaweza yasipatikane hapo hapo lakini kuna alama utaacha haijalishi kwa ukubwa au udogo kiasi gani.
Na hii ndio itakuwa njia ya kuamsha wale walio lala
Yeah kwa vyovyote vile haya mageuzi tunayosema hapa kama bado tutabaki kwenye mfumo wa demokrasia maana yake yataletwa na viongozi ambao wanatokana na chama cha kisiasa pamoja na watu.Lakini lazima kuwepo hii tahadhari hili tusije kurudia kosa lile lileNakuunga mkono kwenye hilo, ila isiwe sababu ya kushindwa kuamini kuwa Kuna chama kinaweza kuja kufill role ya ccm na pengine kikawa na unafuu kuliko ccm, naamini vyama vipo na vinaweza kuwa na angalau ahueni, no political party is perfect but the degree of imperfection may slightly or significantly differ, we should not lose hope for a brighter and prosperous future.
Njia nyepesi ya kubadili watu wa hivi ni kwamba lazima mambo yaendelee kuharibika.Mambo yakiharibika sana ni imani yangu kila mtu akili itarudi..hawajalala, wako macho lkn kiwango cha utambuzi wa hali yao na priority zao ni duni au ni dhaifu sana, watabadilikaje..sijui!
you know nothing chawa!lakini sija ona mwamko wa watu katika hili jambo kutoa msukumo kwa mamlaka husika kutenda haki kwa kiongozi huyu.Swali langu ni kwamba CHADEMA haina wafuasi loyal au haina ushawishi katika hili taifa kufikia kiongozi mkubwa hivi anafanyiwa dhuluma ambayo inaonekana wazi?
kwamba ukiuke sheria na katiba ya nchi halafu uchekewe tu, right gentleman?
na kwamba kukiuka sheria ndio haki ama kushinikiza aliekiuka sheria asiguswe na sheria zilizopo ndio haki?
hayo mambo nonsnse nadhani ni vizuri mkafanyie kwenye nchi mlizochumbiwa na wanaume wenzenu na kuzitelekeza familia zenu na sio Tanzania, plz gentleman,
and i'm very sorry for saying that light truth in a very bold way
Yeah kuna hatua tunapiga lakini ni ndogo kulinganisha na sehemu tunakohitaji kufika.Kufika najua tutafika lakini kwa kuchelewa ikiwa tutaendelea kuishi maisha tunayoishi sasa(maisha ya ubinafsi,maisha ya kutojali wenzetu,maisha ya baadhi yetu kutaka waabudiwe )Miaka uliyoweka inaonesha umekata tamaa, yaliyotokea 29 Oct hakuna alifikiri kinaweza kutokea kitu kama hicho... kesho yetu hatuijui, nikimaanisha hakuna anayejua tutaamkaje, na watu hawataendelea kuwa walivyo leo.
Sikiliza stori za mtaani za wananchi wa chini, utajua kuna vitu vingi vimebadilika kwenye fahamu za watu. Hawakosekanagi watu wasiojali, ila kwa tulipofika tusipaone ni padogo.
Kila kitu kinaenda hatua kwa hatua, fuatilia historia ya Waisraeli, Mungu alifanya mambo hatua kwa hatua.Yeah kuna hatua tunapiga lakini ni ndogo kulinganisha na sehemu tunakohitaji kufika.Kufika najua tutafika lakini kwa kuchelewa ikiwa tutaendelea kuishi maisha tunayoishi sasa(maisha ya ubinafsi,maisha ya kutojali wenzetu,maisha ya baadhi yetu kutaka waabudiwe )
Ndio nakubali safari yao ilichukua miaka 40 kutoka utumwani kufika nchi ya ahadi lakini hii ya kwetu ni tofauti.Kumbuka lile lilikuwa agano toka enzi za Abraham mpaka kipindi cha Musa.Je,hili la kwetu ni agano(inawezekana lakini hapa itakuwa tumeingiza imani tofauti na uhalisia).Tuongelee uhalisia wa maisha yetu kwa sasa kwanza tuone kama kuna mwanga(watu kuamka na kutambua haki na wajibu wao katika jamii)hivi karibu au itachukua mudaKila kitu kinaenda hatua kwa hatua, fuatilia historia ya Waisraeli, Mungu alifanya mambo hatua kwa hatua.
Turudi kwa Mungu sasa kumuuliza tulipo ni sawa au si sawa?Ndio nakubali safari yao ilichukua miaka 40 kutoka utumwani kufika nchi ya ahadi lakini hii ya kwetu ni tofauti.Kumbuka lile lilikuwa agano toka enzi za Abraham mpaka kipindi cha Musa.Je,hili la kwetu ni agano(inawezekana lakini hapa itakuwa tumeingiza imani tofauti na uhalisia).Tuongelee uhalisia wa maisha yetu kwa sasa kwanza tuone kama kuna mwanga(watu kuamka na kutambua haki na wajibu wao katika jamii)hivi karibu au itachukua muda
..may be that wayNjia nyepesi ya kubadili watu wa hivi ni kwamba lazima mambo yaendelee kuharibika.Mambo yakiharibika sana ni imani yangu kila mtu akili itarudi
Kama tukihusisha imani najua fika kipindi tulichopo ni cha kujaribiwa huku tukiandaliwa kwa yaliyo makubwa lakini tukiweka imani kando na kuangalia mambo yalivyo ni kwamba wananchi tumelala.Turudi kwa Mungu sasa kumuuliza tulipo ni sawa au si sawa?
Dah umeongeza elfu kumi na tisa mingine kiongoziHiyo ni michache sema 20000elf