GE2025 Tanzania itapitia kipindi kigumu ambacho haijawahi kupitia tokea iumbwe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
10,791
Reaction score
15,016
Niwape pongezi ndugu zangu watanzania, kwa uvumilivu, busara na hekima nyingi tulizo barikiwa, hivi karibuni nililala nikaota...!

Nimeota kuwa dunia ipo kwenye kipindi cha mabadiliko hii ni kweli kabisa ni kama vile msimu wa kiangazi, masika nk.

Hivi ndivyo ilivyo kwa msimu tuliopo kiasili...mambo yanayo tokea Nepal na kwengineko ilikuwa ni lazima yatokee ili asili iwe imefanya kazi yake...!

Haya mabadiliko tunayo hitaji yalihitajika kufanyika muda mrefu ila hivi sasa ni lazima yafanyike kwani ndivyo dunia inavyo taka...!

Endapo tutashindwa kufanya vile dunia inataka tujiandae kwa mapigo ambayo yatakuwa yaki historia...! Historia inaenda kuandikwa upya...itakuwa historia ya kutisha na kuogopesha sana...!

Ili asili isitufanyie mabadiliko ni lazima wote kwa pamoja tuamue kufanya mabadiliko...tukishupaza shingo kitakacho tupata wanyama wa porini watakuwa mashahidi...!

Asili tunaweza kuipooza kwa kudai mabadiliko kilazima watu watoke waandamane tukae mezani tufanye mabadiliko....ikitokea tukakosa nguvu ya kufanya hivyo tutakuwa tumejiangamiza wenyewe...! Dunia nzima ipo kwenye kipindi cha mabadiliko tusipo fanya wenyewe mabadiliko dunia itatusaidia kufanya...!

Hatari iliopo mbele yetu pozo yake au kafara yake ni mabadiliko ya kweli ama maandamano yatakayo changia kupatikana kwa maridhiano kinyume chake dunia itaamua cha kufanya...!

Yale matukio kama TSUNAMI, na mengineyo huwa hayatokei kibahati mbaya huwa na maana kubwa mno...!

Dunia inaweza kutuma ZAWADI tukaifurahia vile vile inaweza kutuma ADHABU ikatuletea maumivu makubwa yasio sahaulika...!

Itatokea tu automatically watu watakuwa VICHAA nchi nzima 🤧😭😢 inatisha sana kwakweli...! Hii ndoto yangu nimeshindwa kuihadithia vizuri...!

Na tusijidanganye kuwa tutapata msaada kwa kusali na kuomba kwa dini zilizoletwa na ndege🤣🤣🤣

Kitu kitakacho tupa faraja na matumaini ni dini zetu za kiafrika...sisi waafrika tuna Mungu wetu ambae hashindwi na kitu...tuki muomba Mungu huyo wa kiafrika atatusaidia kutukinga na madhwira ya mabadiliko ya ki lazima...!

​
 
Acha kelele hayo unayosema mabadiliko kwa maandamano yametokea nchi 3 na hazizidi 5 duniani nchi zipo zaidi ya 180..
 
Nchi za wenzetu zinafanya mabadiliko kila wakati Inteligensia yao haisubiri watu wadai ndio wapewe...! Ila hata hivyo hii ni ndoto mimi siielewi ndio maana nimeshindwa kuiandika kwenye mtiririko mzuri​
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Tusipo fanya wenyewe mabadiliko dunia itatusaidia kufanya mabadiliko....🥲
 
Sisi tunaimba kazi na utu,tunasongambele!
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Mimi ndoto huzichukulia kawaida tu sidhani zaweza kutokea kiuhalilisia.
Usiku uliopita nimeota Tanzania yatatokea mabadiliko na yatasababishwa na vijana wa vyuo vikuu. Wataandamana wengi, migomo mikubwa.
Sijui mwaka wala tarehe, inaweza kutokea miaka mingi ijayo au ndani ya miaka 6 toka leo tarehe 14 Oktoba 2025.
Hii ni ndoto tu mfano wa zingine nyingi ninazoota na hazitokei au zinatokea kweli.
Zikitokea huhisi ile hali wanaita 'Deja Vu' .
 
Mimi ndoto huzichukulia kawaida tu sidhani zaweza kutokea kiuhalilisia.
Usiku uliopita nimeota Tanzania yatatokea mabadiliko na yatasababishwa na vijana wa vyuo vikuu. Wataandamana wengi, migomo mikubwa.
Sijui mwaka wala tarehe, inaweza kutokea miaka mingi ijayo au ndani ya miaka 6 toka leo tarehe 14 Oktoba 2025.
Hii ni ndoto tu mfano wa zingine nyingi ninazoota na hazitokei.
Ndoto hutimia kiongozi kuwa na kawaida ya kuziandika utanishukuru
 
Back
Top Bottom