GE2025 Tanzania itapitia kipindi kigumu ambacho haijawahi kupitia tokea iumbwe

GE2025 Tanzania itapitia kipindi kigumu ambacho haijawahi kupitia tokea iumbwe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Niwape pongezi ndugu zangu watanzania, kwa uvumilivu, busara na hekima nyingi tulizo barikiwa, hivi karibuni nililala nikaota...!

Nimeota kuwa dunia ipo kwenye kipindi cha mabadiliko hii ni kweli kabisa ni kama vile msimu wa kiangazi, masika nk.

Hivi ndivyo ilivyo kwa msimu tuliopo kiasili...mambo yanayo tokea Nepal na kwengineko ilikuwa ni lazima yatokee ili asili iwe imefanya kazi yake...!

Haya mabadiliko tunayo hitaji yalihitajika kufanyika muda mrefu ila hivi sasa ni lazima yafanyike kwani ndivyo dunia inavyo taka...!

Endapo tutashindwa kufanya vile dunia inataka tujiandae kwa mapigo ambayo yatakuwa yaki historia...! Historia inaenda kuandikwa upya...itakuwa historia ya kutisha na kuogopesha sana...!

Ili asili isitufanyie mabadiliko ni lazima wote kwa pamoja tuamue kufanya mabadiliko...tukishupaza shingo kitakacho tupata wanyama wa porini watakuwa mashahidi...!

Asili tunaweza kuipooza kwa kudai mabadiliko kilazima watu watoke waandamane tukae mezani tufanye mabadiliko....ikitokea tukakosa nguvu ya kufanya hivyo tutakuwa tumejiangamiza wenyewe...! Dunia nzima ipo kwenye kipindi cha mabadiliko tusipo fanya wenyewe mabadiliko dunia itatusaidia kufanya...!

Hatari iliopo mbele yetu pozo yake au kafara yake ni mabadiliko ya kweli ama maandamano yatakayo changia kupatikana kwa maridhiano kinyume chake dunia itaamua cha kufanya...!

Yale matukio kama TSUNAMI, na mengineyo huwa hayatokei kibahati mbaya huwa na maana kubwa mno...!

Dunia inaweza kutuma ZAWADI tukaifurahia vile vile inaweza kutuma ADHABU ikatuletea maumivu makubwa yasio sahaulika...!

Itatokea tu automatically watu watakuwa VICHAA nchi nzima 🤧😭😢 inatisha sana kwakweli...! Hii ndoto yangu nimeshindwa kuihadithia vizuri...!

Na tusijidanganye kuwa tutapata msaada kwa kusali na kuomba kwa dini zilizoletwa na ndege🤣🤣🤣

Kitu kitakacho tupa faraja na matumaini ni dini zetu za kiafrika...sisi waafrika tuna Mungu wetu ambae hashindwi na kitu...tuki muomba Mungu huyo wa kiafrika atatusaidia kutukinga na madhwira ya mabadiliko ya ki lazima...!

​
Mara mia ccm iondoke madarakani ,na tufunge mikanda , vita ya kagera ilitangazwa na wana nchi walifunga mikanda ,iweje leo ,wananchi wanafunga mikanda ili hali wengine hawajui ilo,

Ufisadi kila kona, haiwezekani Bwana.

Najua hata USA kuna maskini ,na jua sio kwamba mja wetu ataweza kila mmoja pata / kuwa tajiri ,hii katika dunia yote haijawahi tokea bali ipo standard ya maisha tufikke tokana na rasmali zetu na inawezekana .Leo muoka makopo na wa kwetu tz wako sawa ,why
 
Tusipo fanya wenyewe mabadiliko dunia itatusaidia kufanya...stay turned
 
Back
Top Bottom