Tanzania itavunja rekodi kuwa nchi ya kwanza Afrika, Mgombea urais wao anaishi Ulaya anakujaga kugombea urais Afrika

Raisi wa Congo Tsheked alikuwa anishi wapi

Hata Kabila
Museve
Not only those....!!
Madai ya mleta mada ni propaganda za Lumumba Street na hazing ukweli wowote. Hivi anambra NELSON HONLALA MANDELA , Samora Moises Machel, Augustino Neto, n.k. walokuwa Wapigania Haki na Uhuru wa nchi zao. Walikaa nje ya nji zao au Mahabusu lakini mwisho wa siku walokuja kuwa Marais wene kuheshimika sana tokana na misimamo yao....!!! Antipas Tundu Lissu is of the same class. Sijui kama ameelewa au amelzidi kulewa!!!
 
Akuna la ajabu umezoea kuona wakitoka gerezani na kuwa wagombea uRais na wanashinda kwa kishindo itakuwa kwa beberu
 
kuna rais anatawala afrika lkn ikulu uko ulaya anaendesha mikutano ya baraza LA mawaziri kwa njia ya video conference. mzee omari bongo.
 
Kinachokuuma Ni Nini unamtaka aje umumalizie ama....
 
Mafiii matupu
 
Yule jamaa hatagombea 2025, hakuna atakayemuamini iwe nje au ndani ya Tanzania. Makamu mwenyekiti wa chama unaishi ulaya, hujui chama kinaendaje, hushiriki vikao, huendi mitaani kuzindua matawi au kuongeza base ya chama... Wewe ni twitter na vyombo vya habari vya wazungu tu... Hata mbowe hawezi kukubali hii kitu subiri mtaona.

Kama kweli anataka urais aje ajipange upya Nchini kwake... Asiogope kufa... Amuige Bob wine.

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Paul Biya ni rais wa Cameroon na muda mwingi anaishi Uswisi
 
Akuna la ajabu umezoea kuona wakitoka gerezani na kuwa wagombea uRais na wanashinda kwa kishindo itakuwa kwa beberu
Wanakuwa ndani ya magereza ya nchi zao sio ugenini .Wanakuwa pamoja na raia wao wakiteseka pamoja ndani ya nchiSio mmoja anakula pizza ulaya mwingine anateseka ndani ya nchi amleye mla pizza kuwa mgombea!!!!
 
Mnamtamani eeeee, mlishashindwa. Hangaikeni na JIWE. Tukutane 2025
 
Sio issue kwai ina tofauti gani na wabunge wanaoishi Dar wanaoenda kugombea katika majimbo ya mikoa walikozaliwa! Kwaza ieleweke Lissu yuko nje ni kwasababu za kiusalama, hizi ni sababu ambazo hata mahakama inakualiaa nazo!
 
Ndo shida ya watu kama Mtoto wa Mchungaji na wenzake wa Lumumba kusoma magazeti ya Uhuru, Tanzanite, Tazama, Risasi na mengine kama hayo. Mifano imeshatajwa ya akina Tshisekedi, Kabila hata Museveni. Muwe mnasoma magazeti yenye hadhi na siyo hayo ya kufungia mandazi kama niliyoyataja.
 
Rais mmoja wa afrika magharibi anaeishi uswisi hotelini tena ni zaidi ya miaka 25 anakuja kipindi cha uchaguzi tu
 
True
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…