Tanzania itavunja rekodi kuwa nchi ya kwanza Afrika, Mgombea urais wao anaishi Ulaya anakujaga kugombea urais Afrika

Kwa uchaguzi ujao 2025, atakayeruhusiwa kuchukua form ya kugombea nafasi yoyote ile ya uongozi ndani ya JMT ni yule tu ambaye amekuwepo ndani ya nchi angalau si chini ya miezi sita kabla ya tarehe ya kuchukua form ya kuwania nafasi hiyo ya uongozi husika
 
Nani alikwambia kwamba kuna uchaguzi katika nchi hii. Hakuna uchaguzi ni uteuzi tu wa wabunge, madiwani na rais mwenyewe na rais ndiye anayewateua wote hao.

Wenyeviti wa vitongoji, vijiji na mitaa wanateuliwa na ccm na ndipo mnaambiwa "Uchaguzi" umeisha kwa amani msubiri tena miaka mitano.

That's democracy Tanzania style.
 
Basi kama ni hivyo, ni bora zaidi namna tunavyofanya sisi kuliko wale wanaodai kuanzisha Demokrasia halafu wakishafanya chaguzi zao wanaanza kutuhumiana kuwa wameibiana kura
 
Bora atoke Ulaya aje agombee tena na tena na ashindwe au vinginevyo! Wengine walitaka awe kaburini. Angefufuka kama Yesu ili aje kugombea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…