hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
- Thread starter
-
- #21
siwezi nikakupa namba kamili lakini kumbuka Tanzania ni nchi ya pili kwa wingi wa watu wanaotumia Sana mitandao ni wazi kwamba Kuna watnzania wengi wanaenda online kwa lengo la kuburudika tu na kutafuta udaku na hawajui matumizi mengine ya mitandaoNi waTanzania wangapi wenye smartphone, na kati ya hao ni wangapi wenye ku afford full access ya internet, na kati ya hao ni wangapi wenye tiktok, na ni wangapi kati yao wanajielewa? TUANZIE HAPO KWANZA.
Swala la kuzuia ticktock linaweza kufanyikw kwa siku moja tu Ila hayo ya elimu, afya na maji ni miongo mingi na yanaingiliwa na siasa zaidi tutaenda nayo mdogomdgoBado hatujajiimarisha kwenye sekta ya Elimu, Afya, Maji, Umeme, ajira, unataka turukie kwenye vitu ambavyo athari yake hata 20% haifiki.
Fuatilia zaidiTurkey haija zuia Mtandao wa Tiktok hapo sijakubaliana na wewe.
Tuwe wazalendo na wamoja, tukemee kwa pamoja tunapoona Jambo Fulani halipo sawa kwenye jamii kwa Nia njema , usiseme "fuata Mambo yako"Fuata mambo yako. Kama adictio basi wadili na kubet
kwa views 1000 ticktock inalipa Dola 0.004 $ ni pesa ndogo Sana hii na haiwezi kubadilisha Maisha ya mtu haraka ukilinganisha na mda anaotumia kuipata na kutengeneza video zake , so hata tukiuzuia hatutaathiri uchumi wa mtu kwa kiasi kikubwa.mimi sijaingia tiktok, sijui hata unachosema. ila najua huko majuu watu wanatengeneza pesa kupitia mtandao huo. pili, haya mambo yote ni ya kishetani, hata hizi computer na simu ni za kishetani, kwa wajuzi wanaelewa kwamba long before computers were invented, ulimwengu wa kuzimu/ushetanini huko walishakuwa wanatumia computer kitambo. sayansi nyingi hutoka kwa mashetani, hata hao kina elon mask matajiri, wana connection ya mashetani, hata kwenye mambo ya kawaida ukiona kitu kinasababisha uraibu jua kuna mkono wa shetan nyuma yake, mfano nyimbo za diamond kwa watoto, ajenti wa kuzimu na manyimbo anaimba ni ya kishetani ila watu wanayapenda. mitandao ya porn, mitandao mbalimbali, tamthilia za kizinzi na mambo mengi kama hayo huwa kunakuwa na upako wa kishetani, hivyo hata ukikwepa hili utakutana na lile na mbaya zaidi hata kama wee hufanyi jirani yako atafanya. kwa msiojua, hata design nyingi za magari huanzia kuzimu, kuna watu huitwa magenius au watu wenye akili nyingiiii wengi huwa na vimelea vya kishetani au wanapagawa na mashetani ndio yanakuwa yanafanyakazi ndani yao.
uyaonapo hayo, changamke, Mwana wa Adam yu karibu malangoni, mwenye kanisa anakuja kuchukua walio wake, kama mchungaji agawanyishavyo kondoo na mbuzi, atawagwanya kondoo kulia na mbuzi kushoto, ndipo kitakapokuwa kilio na kusaga meno kwa wale watakaokuwa mbuzi. walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye hata malaika walio mbinguni ila Baba, basi kesheni kwakuwa hamjui ni siku ipi atakayokuja Bwana wenu. kama mwenye nyumba angelijua saa mwivi atakayokuja hakika angelikesha wala asingeiacha nyumba yake kuingiliwa. Okokeni mponye nafsi zenu. tubuni mkabatizwe kwa Jina lake Yesu mpate ondoleo la dhambi nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu, kwakuwa aaminiye na kubatizwa ndiye atakayeokoka na asiyeamini atahukumiwa. bila Yesu hapa duniani ni kazi bure.
Muanze kuzuia nyeto kwanza ndiyo mmalizie tiktok......
Hili ndio jibu tosha wanaume wa tiktok sio wanaume kamilinasemaje, mwanaume yeyote anaetumia tiktok ni SHOGA!!
kundi la walio na smart na wanaingia ticktock na Wana spend mda mwingi ndio lenye watu wengi, hili ni kundi kubwa na ndio tunazungumzia hili Leo.Umeunga hoja ambayo kiuhalisia Haina ukweli,,,. Iko hivi watanzania tupo zaidi ya million 65
1.milioni ngapi Wana Smart phone au hawana smart phone
2 . million ngapi hawajui tictok ingawa Wana Smart phone
3.wangapi wanaijua TikTok lakin hawana bando
4.wangapi wanaijua TikTok na Wana bando lakin hawapati mda wa kuingia TikTok
5. Wangapi waijua TikTok na Wana bando ila ni dakika ngapi Wana spend Kwa kuingia TikTok
6.mwisho .........chukua namba Moja Hadi 6 jumlisha upate jumla alafu utoe total ya watanzania wanaobaki ni kiasi gan?
Isharrah
Sasa TikTok imewakosea Nini jamen,kutazama TikTok ni maamuzi ya hiari kama nyeto ...nifanye au usifanye.... kilakitu ukizidisha Lazima ulowee humoAsa nyeto izuiwe Kwan inaubaya gan? Kwanza mambo ya nyeto yameingiaje apa
Mbona ujasema wazuie pombe au bangi
Ndo ukweliHili ndio jibu tosha wanaume wa tiktok sio wanaume kamili
Watu wanatafuta hela ili wapate bando lakuangalia tiktok .. labda useme serikali izue maudhui flani mfano china wao wanatumia douyin ambayo ni tiktok yakichina yenye maudhui ambayo serikali yao imeyapitisha...Hello wanajf
Mtandao wa Tiktok ni mtandao unaokuja kwa Kasi Sana. Mtandao huu unatengeneza addiction Fulani ambayo inamfanya mtu asichoke kabisa kuutumia.
Nilichokiona mpaka sasa ni kwamba asilimia kubwa ya vijana , watoto na wazee wanashinda huko.
Athari za baadae
👉 kupunguza uwezo wa watu kufikiria na kuchanganua matatizo kwasababu ya uraibu
👉Kuongezeka kwa uzembe utakaoathiri uchumi wa mmoja mmoja hatimaye taifa zima.
👉Vijana na ubunifu ndio itakuwa basi.
👉Kuongezeka mmomonyoko wa maadili kwani ticktock video za utupu ndio huuza Sana so wadada wengi wameona ndio fursa kwao Jambo litakaloathiri vijana.
👉Umasikini Kuongezeka kwani pesa inayotumika kwa ajili ya bando ni kubwa, imagine bando la buku Tiktok ni dakika 45 tu basi ikiwa mtu atashinda huko pesa nyingi Sana zinapotea ambazo zingefanya Mambo mengine
Hivyo Kama ilivyo kwa nchi zingine Kama vile China , India, Turkey, North Korea na zinginezo ambazo zimezuia matumizi ya mtandao wa Tiktok
Nashauri Tanzania nayo iangalie namna ya kuwaokoa vijana kwa uraibu wa huu mtandao.
Karibu kwa maoni
Hello wanajf

Karibu
Wewe nawe badala ya kutoa point kuhusu mada tuliyo nayo, wewe umeleta mahubiri.mimi sijaingia tiktok, sijui hata unachosema. ila najua huko majuu watu wanatengeneza pesa kupitia mtandao huo. pili, haya mambo yote ni ya kishetani, hata hizi computer na simu ni za kishetani, kwa wajuzi wanaelewa kwamba long before computers were invented, ulimwengu wa kuzimu/ushetanini huko walishakuwa wanatumia computer kitambo. sayansi nyingi hutoka kwa mashetani, hata hao kina elon mask matajiri, wana connection ya mashetani, hata kwenye mambo ya kawaida ukiona kitu kinasababisha uraibu jua kuna mkono wa shetan nyuma yake, mfano nyimbo za diamond kwa watoto, ajenti wa kuzimu na manyimbo anaimba ni ya kishetani ila watu wanayapenda. mitandao ya porn, mitandao mbalimbali, tamthilia za kizinzi na mambo mengi kama hayo huwa kunakuwa na upako wa kishetani, hivyo hata ukikwepa hili utakutana na lile na mbaya zaidi hata kama wee hufanyi jirani yako atafanya. kwa msiojua, hata design nyingi za magari huanzia kuzimu, kuna watu huitwa magenius au watu wenye akili nyingiiii wengi huwa na vimelea vya kishetani au wanapagawa na mashetani ndio yanakuwa yanafanyakazi ndani yao.
uyaonapo hayo, changamke, Mwana wa Adam yu karibu malangoni, mwenye kanisa anakuja kuchukua walio wake, kama mchungaji agawanyishavyo kondoo na mbuzi, atawagwanya kondoo kulia na mbuzi kushoto, ndipo kitakapokuwa kilio na kusaga meno kwa wale watakaokuwa mbuzi. walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye hata malaika walio mbinguni ila Baba, basi kesheni kwakuwa hamjui ni siku ipi atakayokuja Bwana wenu. kama mwenye nyumba angelijua saa mwivi atakayokuja hakika angelikesha wala asingeiacha nyumba yake kuingiliwa. Okokeni mponye nafsi zenu. tubuni mkabatizwe kwa Jina lake Yesu mpate ondoleo la dhambi nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu, kwakuwa aaminiye na kubatizwa ndiye atakayeokoka na asiyeamini atahukumiwa. bila Yesu hapa duniani ni kazi bure.
kutumia ticktock sio technology Wala na tunaweza kuizuia , sema inabidi nguvu yetu ya technology tuihamishie kwenye kukuza viwanda na kuinua Maisha ya watanzania sio matumizi ya social mediaWaacheni watu wafanye wavitakavyo kwa uhuru.
Hizo sababu zako hazina mashiko hapo.
Huwezi ingilia maisha ya mtu tena kwenye simu yake.
Technology haizuiliki, tujiandae nayo tu