Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Kuna marafiki zangu wapo huko na wanatumia katika simu za na hata katika Ma-Computer bila wasiwasi wowote ule.Fuatilia zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna marafiki zangu wapo huko na wanatumia katika simu za na hata katika Ma-Computer bila wasiwasi wowote ule.Fuatilia zaidi
Kwani matumizi ya social media yanazuia kufanya hayo mengine?kutumia ticktock sio technology Wala na tunaweza kuizuia , sema inabidi nguvu yetu ya technology tuihamishie kwenye kukuza viwanda na kuinua Maisha ya watanzania sio matumizi ya social media
Mbona ubunifu haupo tangu siku nyingi mkuu.Hello wanajf,
Mtandao wa Tiktok ni mtandao unaokuja kwa Kasi Sana.
Mtandao huu unatengeneza addiction Fulani ambayo inamfanya mtu asichoke kabisa kuutumia.
Nilichokiona mpaka sasa ni kwamba asilimia kubwa ya vijana, watoto na wazee wanashinda huko.
Athari za baadae
[emoji117] kupunguza uwezo wa watu kufikiria na kuchanganua matatizo kwasababu ya uraibu
[emoji117]Kuongezeka kwa uzembe utakaoathiri uchumi wa mmoja mmoja hatimaye taifa zima.
[emoji117]Vijana na ubunifu ndio itakuwa basi.
[emoji117]Kuongezeka mmomonyoko wa maadili kwani ticktock video za utupu ndio huuza Sana so wadada wengi wameona ndio fursa kwao Jambo litakaloathiri vijana.
[emoji117]Umasikini Kuongezeka kwani pesa inayotumika kwa ajili ya bando ni kubwa, imagine bando la buku Tiktok ni dakika 45 tu basi ikiwa mtu atashinda huko pesa nyingi Sana zinapotea ambazo zingefanya Mambo mengine.
Hivyo Kama ilivyo kwa nchi zingine Kama vile China , India, Turkey, North Korea na zinginezo ambazo zimezuia matumizi ya mtandao wa Tiktok
Nashauri Tanzania nayo iangalie namna ya kuwaokoa vijana kwa uraibu wa huu mtandao.
Karibu kwa maoni
Hasa si uongee na mkeonaunga mkono hoja. Wanawake wengi siku hizi hata akili zimewaruka, naweza kukaa na mwenza wangu hata dakika 40 yupo bzy mno na ku play video za tiktok akimwambia ndio inakuwa ushaanzisha ugomvi
Kwa mtazamo wangu naona waache uhuru.Watu wakajifariji huko tiktok. Zipo faida nyingi kuliko hasara.Hello wanajf,
Mtandao wa Tiktok ni mtandao unaokuja kwa Kasi Sana.
Mtandao huu unatengeneza addiction Fulani ambayo inamfanya mtu asichoke kabisa kuutumia.
Nilichokiona mpaka sasa ni kwamba asilimia kubwa ya vijana, watoto na wazee wanashinda huko.
Athari za baadae
[emoji117] kupunguza uwezo wa watu kufikiria na kuchanganua matatizo kwasababu ya uraibu
[emoji117]Kuongezeka kwa uzembe utakaoathiri uchumi wa mmoja mmoja hatimaye taifa zima.
[emoji117]Vijana na ubunifu ndio itakuwa basi.
[emoji117]Kuongezeka mmomonyoko wa maadili kwani ticktock video za utupu ndio huuza Sana so wadada wengi wameona ndio fursa kwao Jambo litakaloathiri vijana.
[emoji117]Umasikini Kuongezeka kwani pesa inayotumika kwa ajili ya bando ni kubwa, imagine bando la buku Tiktok ni dakika 45 tu basi ikiwa mtu atashinda huko pesa nyingi Sana zinapotea ambazo zingefanya Mambo mengine.
Hivyo Kama ilivyo kwa nchi zingine Kama vile China , India, Turkey, North Korea na zinginezo ambazo zimezuia matumizi ya mtandao wa Tiktok
Nashauri Tanzania nayo iangalie namna ya kuwaokoa vijana kwa uraibu wa huu mtandao.
Karibu kwa maoni
Anza na Betting inayowafirisi watu Hali ya kufanya kazi na kuwa wabunifu. Achana na TikTok! Namna Bora ya kukwepa TikTok nikutumia muda wa kutazama TikTok kufanya shughuli nyingine.Mtandao wa Tiktok ni mtandao unaokuja kwa Kasi Sana.
Hello wanajf,
Mtandao wa Tiktok ni mtandao unaokuja kwa Kasi Sana.
Mtandao huu unatengeneza addiction Fulani ambayo inamfanya mtu asichoke kabisa kuutumia.
Nilichokiona mpaka sasa ni kwamba asilimia kubwa ya vijana, watoto na wazee wanashinda huko.
Athari za baadae
👉 kupunguza uwezo wa watu kufikiria na kuchanganua matatizo kwasababu ya uraibu
👉Kuongezeka kwa uzembe utakaoathiri uchumi wa mmoja mmoja hatimaye taifa zima.
👉Vijana na ubunifu ndio itakuwa basi.
👉Kuongezeka mmomonyoko wa maadili kwani ticktock video za utupu ndio huuza Sana so wadada wengi wameona ndio fursa kwao Jambo litakaloathiri vijana.
👉Umasikini Kuongezeka kwani pesa inayotumika kwa ajili ya bando ni kubwa, imagine bando la buku Tiktok ni dakika 45 tu basi ikiwa mtu atashinda huko pesa nyingi Sana zinapotea ambazo zingefanya Mambo mengine.