Tanzania izuie matumizi ya Mtandao wa Tiktok

Kama ni kuzuia utazuia vingi sana,mwisho wa siku ni mtu na akili yake.
Hiyo tiktok ona content za kila aina,na itakupa vitu ambavyo upo interested navyo,mi naingia kila siku ila sikutani na maudhui ya hovyo hovyo,hata yakija nabonyeza not interested na sitaletewa tena.
Kama ilivyo reels na shorts kule youtube ndivyo tiktok inavyofanya kazi, content ndefu mtu anaisummarize na inaeleweka.
Shida ya sisi wabongo tunaweza ponda kitu kwa mkumbo tu wakati watu wanafanya biashara huko na maisha yanaenda,sasa anatokea mtu eti ifungiwe akili ya wapi hii!
 
kutumia ticktock sio technology Wala na tunaweza kuizuia , sema inabidi nguvu yetu ya technology tuihamishie kwenye kukuza viwanda na kuinua Maisha ya watanzania sio matumizi ya social media
Kwani matumizi ya social media yanazuia kufanya hayo mengine?
 
naunga mkono hoja. Wanawake wengi siku hizi hata akili zimewaruka, naweza kukaa na mwenza wangu hata dakika 40 yupo bzy mno na ku play video za tiktok akimwambia ndio inakuwa ushaanzisha ugomvi
 
Mbona ubunifu haupo tangu siku nyingi mkuu.
 
naunga mkono hoja. Wanawake wengi siku hizi hata akili zimewaruka, naweza kukaa na mwenza wangu hata dakika 40 yupo bzy mno na ku play video za tiktok akimwambia ndio inakuwa ushaanzisha ugomvi
Hasa si uongee na mkeo
 
Nashangaa unavipa sifa za uraibu vitu vya kipuuzi.Ushawahi kuliona alosto la unga Wewe,?alosto la nyeto je?Mi nashangaa eti mtu ni mraibu wa kubeti?upuuzi mtupu.
 
Hata mimi nilikua nayo nikaamua kuitoa, maana niliona inaanza kunitoa out of consciousness.
 
Kwa mtazamo wangu naona waache uhuru.Watu wakajifariji huko tiktok. Zipo faida nyingi kuliko hasara.
 
Mtandao wa Tiktok ni mtandao unaokuja kwa Kasi Sana.
Anza na Betting inayowafirisi watu Hali ya kufanya kazi na kuwa wabunifu. Achana na TikTok! Namna Bora ya kukwepa TikTok nikutumia muda wa kutazama TikTok kufanya shughuli nyingine.
 
Athari zooote hizo mbona zimekuwepo hata kabla nchi hii haijapata uhuru
 
Nasikiaa tiktk huko kila mwanamke anaonesha tko na kulitingisha

Ova
 


Mimi sijawahi hayta kuifungua, labda kwa bahati nione video ina Nembo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…