Duuh braza hatujafikia uko [emoji28][emoji28]Ningependa kusikia msuli wa serekali ukijitokeza katika hili sakata.
Mosi, Zuia KQ
Pili,Zuia maziwa yote ya Kenya kuingia soko la Tanzania
Tatu,fukuza waKenya wote wanaofanya kazi Tanzania wakiwemo wale wa EAC
Nne, Fukuza Balozi wa Kenya mara moja
Tano,Bidhaa zote za Kenya zipandishiwe ushuru 100%
Sita,Zuia bidhaa za chakula kwenda Kenya hasa Mahindi
Serekali kupitia wizara mbali mbali kuangalia namna ya kuzidisha mbinyo hadi yule jamaa anayetumia yale majani atuombe radhi.
Usilie sasa[emoji38]Geza is clearly a stupid man.... the gas is just brought in via tz, from your port by unscrupulous traders who don't want to get registered in Kenya. The gas may be harmful to Kenyans who use it in their homes, even blow up because of alterations. It is not a ban on exports from tz. read your own post.
That gas comes from Mtwara! Two pipelines exists! it is made in TanzaniaGeza is clearly a stupid man.... the gas is just brought in via tz, from your port by unscrupulous traders who don't want to get registered in Kenya. The gas may be harmful to Kenyans who use it in their homes, even blow up because of alterations. It is not a ban on exports from tz. read your own post.
Yeap, thats it!Geza is clearly a stupid man.... the gas is just brought in via tz, from your port by unscrupulous traders who don't want to get registered in Kenya. The gas may be harmful to Kenyans who use it in their homes, even blow up because of alterations. It is not a ban on exports from tz. read your own post.
Ili wengine tukose ajira au? Kwakweli hapana wewe, hao wakenya wengi ndio wanafanya tudunde mjiniNingependa kusikia msuli wa serekali ukijitokeza katika hili sakata.
Mosi, Zuia KQ
Pili,Zuia maziwa yote ya Kenya kuingia soko la Tanzania
Tatu,fukuza waKenya wote wanaofanya kazi Tanzania wakiwemo wale wa EAC
Nne, Fukuza Balozi wa Kenya mara moja
Tano,Bidhaa zote za Kenya zipandishiwe ushuru 100%
Sita,Zuia bidhaa za chakula kwenda Kenya hasa Mahindi
Serekali kupitia wizara mbali mbali kuangalia namna ya kuzidisha mbinyo hadi yule jamaa anayetumia yale majani atuombe radhi.
Masikini ni Wakenya weusi wakati matajiri wa Kenya ni Wazungu waishio Lavington, Karen, Muthaiga na HurlinghamTehehehee... Nyinyi mtabaki masikini wa kutupwa... Why lie?
Wasomali ndio watawamaliza kabisa.We need Somalia More than Danganyika
I don't see the logic of that bulk LPG procurement in Kenya if more expensive than Tanzania's gas. The issue here is carteiling n I don't see why should Tanzania gas exporters use Mombasa port while we share the border. It's like us telling u import all ur milk to Tanzania's market using Dar port. Keep watching, but believe me Magu will hit back. U started with wheat n now u have gone to natural gas!Watanzania fungukeni. Walichokataa ni kupitia njia za panya ambazo hupeleka mitungi. Mingi halipiwi ushuru wale kukaguliwa ubora. Mombasa kuna bulk process hivyo ni fursa kwa makampuni yetu kupeleka bulk natural gas. Ila kwa kuwa sisi ni walalamishi hatulioni hili.
ThubutuuuuWe need Somalia More than Danganyika
Napata taabu kuelezea au kuchangia jambo hilo hapa jamvini kwa sababu moja kubwa: hivi ni kweli serikali makini ya Kenya inaweza kuweka kigingi kama hicho katika wakati huu ambapo tunahitajiana sana? Africa mashariki ni soko dogo sana la bidhaa kwa walaji wa mwisho lakini ina rasilimali ghafi nyingi na muhimu sana kwenye uchumi wa nchi moja moja katika jumuiya, uchumi wa kikanda, afrika na dunia.
Tukianza kuwekeana vigingi vya aina hii sidhani kama tutakuwa tunasaidia wananchi wa kawaida ambao ndio walengwa katika hoja hii ya Gesi ya matumizi ya majumbani. Mimi bado naisubiri Kenya itoe ufafanuzi kwamba katika hili wamelenga nini.
Aidha, ni vema kwa wazalishaji wa gesi husika wakaiunga mkono serikali kusambaza kwa kasi mitungi ya gesi nchini kote kama njia ya kuunga mkono mpango wa serikali kupunguza matumizi ya mkaa kwa kupiga Marufuku usafirishaji mkaa kutoka Wilaya moja hadi nyingine kuanzia mwezi July. TAMKO LA Maghembe.
You seem to be a sober person with a good grasp on issues, why don't you help your brothers. Don't make the rest of the east Africans think you guys are fools. Help them, I know you are able.Usilie sasa[emoji38]
Yeap, thats it!
Hata mi niliona hio thread jana nikaamua tu kunyamaza.
As in kwa watanzania woooote humu JF walioisoma hio taarifa ni kama hakuna aliyeielewa. Halafu wote wanacomment in the same manner and same contents like internet bots, its like they all get their thoughts from one giant mainframe brain which has a low comprehension capacity.
Hawa jamaa hata hawasomi taarifa wakaielewa, nilitaka kuwaelezea but kusoma tu comments I was like how do I even tackle this amount of stupidity.