Tanzania izuie uingizwaji wa maziwa ya Kenya

Tanzania izuie uingizwaji wa maziwa ya Kenya

Ningependa kusikia msuli wa serekali ukijitokeza katika hili sakata.

Mosi, Zuia KQ

Pili,Zuia maziwa yote ya Kenya kuingia soko la Tanzania

Tatu,fukuza waKenya wote wanaofanya kazi Tanzania wakiwemo wale wa EAC

Nne, Fukuza Balozi wa Kenya mara moja

Tano,Bidhaa zote za Kenya zipandishiwe ushuru 100%

Sita,Zuia bidhaa za chakula kwenda Kenya hasa Mahindi

Serekali kupitia wizara mbali mbali kuangalia namna ya kuzidisha mbinyo hadi yule jamaa anayetumia yale majani atuombe radhi.
Duuh braza hatujafikia uko [emoji28][emoji28]
 
Geza is clearly a stupid man.... the gas is just brought in via tz, from your port by unscrupulous traders who don't want to get registered in Kenya. The gas may be harmful to Kenyans who use it in their homes, even blow up because of alterations. It is not a ban on exports from tz. read your own post.
 
Usilie sasa[emoji38]
 
That gas comes from Mtwara! Two pipelines exists! it is made in Tanzania

149869_3f3f470777d047f6b4e3.jpg

map_TANZCW-02b-additionalGas.png
 
Na feasibility study ya COWI kuifikisha Mombasa imefanyika

FEASIBILITY STUDY FOR NATURAL GAS PIPELINE, TANZANIA AND KENYA

Map%20P4.jpg

Map showing alternative routes for the gas pipeline from Dar es Salaam to Tanga in Tanzania and Mombasa in Kenya
A natural gas pipeline is set to be extended from Dar es Salaam to Tanga in Tanzania and Mombasa in Kenya. COWI has determined the social and environmental viability of the project.

With the intend of increasing trade, the Kenyan and Tanzanian governments wish to construct a 530 kilometres long natural gas pipeline from Dar es Salaam to Tanga in Tanzania and Mombasa in Kenya. The proposed gas pipeline will include gas skid supply terminals in Tanga and Mombasa.

Planning for environment and society
COWI's work on the project involved field work, public consultations with local authorities and a socio-economic survey for communities living along the project area.

Other activities undertaken by COWI included preparation of an environmental and social management plan, an environmental and social monitoring plan and a resettlement action plan (RAP) framework.

Social and economic impacts

The study carried out by COWI includes route selection, technical and economic feasibility as well as financial modelling and environmental and social impact assessment (ESIA).

COWI collected and analysed local data and carried out client liaison, field investigations and surveys to determine realistic alignment options. Cost estimates, outline ESIA and required mitigation measures of identified route alternatives to establish the optimal route were also carried out by COWI.

The study also comprises the identification and scoping of resettlement issues with analysis of population density, existing land use along the line route and socio-economic analysis of the impacted population.

icon-lastEdited.png

LAST UPDATED: 01.04.2016

Pretty sure at Tanga itaunga na ile ya Hoima-Tanga hence Uganda will supply oil to Kenya via Tanzania
 
Geza is clearly a stupid man.... the gas is just brought in via tz, from your port by unscrupulous traders who don't want to get registered in Kenya. The gas may be harmful to Kenyans who use it in their homes, even blow up because of alterations. It is not a ban on exports from tz. read your own post.
Yeap, thats it!
Hata mi niliona hio thread jana nikaamua tu kunyamaza.
As in kwa watanzania woooote humu JF walioisoma hio taarifa ni kama hakuna aliyeielewa. Halafu wote wanacomment in the same manner and same contents like internet bots, its like they all get their thoughts from one giant mainframe brain which has a low comprehension capacity.
Hawa jamaa hata hawasomi taarifa wakaielewa, nilitaka kuwaelezea but kusoma tu comments I was like how do I even tackle this amount of stupidity.
 
Ningependa kusikia msuli wa serekali ukijitokeza katika hili sakata.

Mosi, Zuia KQ

Pili,Zuia maziwa yote ya Kenya kuingia soko la Tanzania

Tatu,fukuza waKenya wote wanaofanya kazi Tanzania wakiwemo wale wa EAC

Nne, Fukuza Balozi wa Kenya mara moja

Tano,Bidhaa zote za Kenya zipandishiwe ushuru 100%

Sita,Zuia bidhaa za chakula kwenda Kenya hasa Mahindi

Serekali kupitia wizara mbali mbali kuangalia namna ya kuzidisha mbinyo hadi yule jamaa anayetumia yale majani atuombe radhi.
Ili wengine tukose ajira au? Kwakweli hapana wewe, hao wakenya wengi ndio wanafanya tudunde mjini
 
Napata taabu kuelezea au kuchangia jambo hilo hapa jamvini kwa sababu moja kubwa: hivi ni kweli serikali makini ya Kenya inaweza kuweka kigingi kama hicho katika wakati huu ambapo tunahitajiana sana? Africa mashariki ni soko dogo sana la bidhaa kwa walaji wa mwisho lakini ina rasilimali ghafi nyingi na muhimu sana kwenye uchumi wa nchi moja moja katika jumuiya, uchumi wa kikanda, afrika na dunia.
Tukianza kuwekeana vigingi vya aina hii sidhani kama tutakuwa tunasaidia wananchi wa kawaida ambao ndio walengwa katika hoja hii ya Gesi ya matumizi ya majumbani. Mimi bado naisubiri Kenya itoe ufafanuzi kwamba katika hili wamelenga nini.
Aidha, ni vema kwa wazalishaji wa gesi husika wakaiunga mkono serikali kusambaza kwa kasi mitungi ya gesi nchini kote kama njia ya kuunga mkono mpango wa serikali kupunguza matumizi ya mkaa kwa kupiga Marufuku usafirishaji mkaa kutoka Wilaya moja hadi nyingine kuanzia mwezi July. TAMKO LA Maghembe.
 
Vipi hili litafanyika ilhali kampuni za Maziwa kule Bongo ni za wa Kenya??
 
Tehehehee... Nyinyi mtabaki masikini wa kutupwa... Why lie?
Masikini ni Wakenya weusi wakati matajiri wa Kenya ni Wazungu waishio Lavington, Karen, Muthaiga na Hurlingham

Ninyi wengine laleni Rongai na Kibera.

Huo ni Ukweli Unaouma [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
We need Somalia More than Danganyika
Wasomali ndio watawamaliza kabisa.

Manyang'au sijui kwanini huwa hampendi kuona mafanikio ya wenzenu.

Mbona ninyi mmeuza maziwa huku kwa miaka yooote n at times mnakuja kucollect raw milk huku na mimi ni shahidi.
 
Watanzania fungukeni. Walichokataa ni kupitia njia za panya ambazo hupeleka mitungi. Mingi halipiwi ushuru wale kukaguliwa ubora. Mombasa kuna bulk process hivyo ni fursa kwa makampuni yetu kupeleka bulk natural gas. Ila kwa kuwa sisi ni walalamishi hatulioni hili.
I don't see the logic of that bulk LPG procurement in Kenya if more expensive than Tanzania's gas. The issue here is carteiling n I don't see why should Tanzania gas exporters use Mombasa port while we share the border. It's like us telling u import all ur milk to Tanzania's market using Dar port. Keep watching, but believe me Magu will hit back. U started with wheat n now u have gone to natural gas!
 
Tangu tuwanyang'anye pipeline wanatuchokonoa hawa jamaa..roho imawauma kugundua hata gas business in the region is under our control.
 
Napata taabu kuelezea au kuchangia jambo hilo hapa jamvini kwa sababu moja kubwa: hivi ni kweli serikali makini ya Kenya inaweza kuweka kigingi kama hicho katika wakati huu ambapo tunahitajiana sana? Africa mashariki ni soko dogo sana la bidhaa kwa walaji wa mwisho lakini ina rasilimali ghafi nyingi na muhimu sana kwenye uchumi wa nchi moja moja katika jumuiya, uchumi wa kikanda, afrika na dunia.
Tukianza kuwekeana vigingi vya aina hii sidhani kama tutakuwa tunasaidia wananchi wa kawaida ambao ndio walengwa katika hoja hii ya Gesi ya matumizi ya majumbani. Mimi bado naisubiri Kenya itoe ufafanuzi kwamba katika hili wamelenga nini.
Aidha, ni vema kwa wazalishaji wa gesi husika wakaiunga mkono serikali kusambaza kwa kasi mitungi ya gesi nchini kote kama njia ya kuunga mkono mpango wa serikali kupunguza matumizi ya mkaa kwa kupiga Marufuku usafirishaji mkaa kutoka Wilaya moja hadi nyingine kuanzia mwezi July. TAMKO LA Maghembe.

Soam vizuri http://www.nation.co.ke/business/Co...a/996-3902530-format-xhtml-g4qbutz/index.html

It has nothing to do with Tanzania per se....... Hii ni kukinga wale wajanja wa huku kenya.... Mimi nishawahi nunua gesi, baada ya siku saba ilikua imeisha, kumbendani ilikua imejazwa gesi kidogo na upepo mwingi, nilipopeleka Official total depo nikaambiwa ningeitingisha kama inawaka ingenilipukia usoni!!!!!
 
Usilie sasa[emoji38]
You seem to be a sober person with a good grasp on issues, why don't you help your brothers. Don't make the rest of the east Africans think you guys are fools. Help them, I know you are able.
 
Yeap, thats it!
Hata mi niliona hio thread jana nikaamua tu kunyamaza.
As in kwa watanzania woooote humu JF walioisoma hio taarifa ni kama hakuna aliyeielewa. Halafu wote wanacomment in the same manner and same contents like internet bots, its like they all get their thoughts from one giant mainframe brain which has a low comprehension capacity.
Hawa jamaa hata hawasomi taarifa wakaielewa, nilitaka kuwaelezea but kusoma tu comments I was like how do I even tackle this amount of stupidity.

I think these guys only read the title of posts, and maybe look at pictures.
 
nadhani gesi imeigwa marufuku ili kukinga wakenya ama consumers wa hizi gesi....sio kwasababu wakenya wnawachukia tanzania...every country makes decisions to protect its people...na ndio maana gesi hizi zitaubaliwa kupitia bandari ya Mombasa ambapo zitakaguliwa kwanza....tulieni watz tunajua nyie ni wapumbavu ila hakuna haja ya kuthibitisha..wacheni ujinga...
 
Back
Top Bottom