Tanzania japo kuwa na mito, maziwa na sehemu kubwa ya bahari lakini samaki wajawai kuwa kitoweo kikubwa

Tanzania japo kuwa na mito, maziwa na sehemu kubwa ya bahari lakini samaki wajawai kuwa kitoweo kikubwa

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Kuna mda inabidi ujiulize sana ili swali sababu ni nchi yangu imepewa kila kitu lakini na hakuna kitu kama tunavoona geita na dhahabu.

Kuna nchi wale wasanii waliokwenda kule kutuletea ajenda yao wakitaka bima ya afya zao na mwenyekiti wao utazani samaki mkavu chuchungi.

wajajifunza korea samaki anafikika mpaka ndani ndani vijijini tena wale wa bahari.

serikali kwa nini isitoe kipaumbele kuwapa mitaji wavuvi wakawa na boti za kisasa zenye kuvua matani na zenye barafu na pili kupunguza ushuru wa magari ya kubebea vyakula kama yale ya friji.

au mlifanyie uchunguzi
GSY2ZwAWwAAXivk.jpg
 
Tanzania shida sio ukosefu wa samaki, hakuna mahali samaki shida,
Changamoto ni hatuna hela,

Nyama kg 1, 9000/- mnakula familia ya watu 7 mara 2

Ila samaki wa 9,000/- ni chini ya kg 1 na ataliwa mlo mmoja,

Na hio ni dunia nzima, hata huko korea, samaki no expensive kuliko nyama
 
Waliowaleta sangara ziwa Victoria bila tafiti za kutosha ndiyo wameharibu zaidi na tuendako wale samaki wazawa tutategemea wafugwao majumbani
 
Back
Top Bottom