gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Hii miaka mitano ya kwanza kipi kilimshinda tusiwe kama ulaya?.Kwasababu kabla yakufikia level za ulaya kwa mabeberu ilitakiwa kwa hii mitano aliyomaliza angalau iwe tumeshalingana na ata na Afrika kusini.
Sasa ata kenya na uganda hatujaziacha tunaota ulaya.Kutoa ahadi kana kwamba ndo unataka kuanza kuongoza nchi wakati umeshaongoza miaka mitano na hujafanya lolote kubwa ni dalili zakutapatapa.Ila kwa ccm sishangai maana niwataalam wa kudanganya na kutoa ahadi na kauli mbiu tamu tamu masikioni kumbe usanii mtupu.
Kuna mgombea aliwai kutuambia Nguvu mpya, kasi mpya na ari mpya awamu ya pili akaboresha tena kauli mbiu yake ya Nguvu zaidi ila mambo yalikua yale yale.Ata na uyu mambo ni yale yale mbwembwe tu ndo zinazoongezeka.