Tanzania kaponea on 20:1: Amin Tanzania Kagera invasion

Ni kupiga kelele hapa,enyewe navy yenyu ina wanajeshi wanaoogopa 60m deep water[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

Majeshi mengine baana[emoji23][emoji23]
 
Ni kupiga kelele hapa,enyewe navy yenyu ina wanajeshi wanaoogopa 60m deep water[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

Majeshi mengine baana[emoji23][emoji23]
Nyinyi mna navy kweli?.
 
Swali gani hili, nchi ina eneo kubwa la bahari na visiwa vyenye mafuta na gesi tusiwe na navy?juzi indian navy walikuwa Zanzibar be kubadilishana uzoefu na tz navy.
 
Nyinyi mna navy kweli?.
Swali gani Hilo ,nchi inavisiwa vyenye mafuta na gesi na eneo kubwa la bahari kusiwe na navy kwenye nchi makini kama tz?juzi indian navy walikuwa Zanzibar kubadilishana uzoefu na wenzao wa bongo
 
Sasa, unavamiaje nchi kubwa kama Tanzania na jeshi la watu 3,000?

Watu 3,000 ni brigade moja au mbili tu hapo.
 
Sasa, unavamiaje nchi kubwa kama Tanzania na jeshi la watu 3,000? Watu 3,000 ni brigade moja au mbili tu hapo.
Ndio nashangaa! Ila kinachoshangaza zaidi ni wale ambao wamekuwa wakijivunia kwa miongo minne. Eti kwamba waliishinda hiyo brigade moja tu kwenye vita, tena na vikosi vya nchi zaidi ya mbili, Tan&Znz, alafu ongeza juu yake wanamgambo sijui wa kutoka wapi na wapi.
 
Idd amin aliiteka kagera then nyerere akakwara Uganda yote na mpaka leo jwtz ndio jeshi pekee Africa ambalo liliteka mji mkuu wa nchi nyingine [emoji847][emoji847]

KDF dhaifu walifanyiwa ambush ya nusu saa wakauwawa 500 na kuliwa tigo juu
Jiulize kwa nini kenya haijawahi kushambuliwa na jeshi lolote East Africa.
 
By the time Tanzania was invading Ug, UG was in tatters already, so many rebels were already in TZ preparing to fight Amin,
Ugandans were fed up with him, morale in his army was low..

It's like declaring war on the government in Mogadishu, a government that cannot get out of Mogadishu because of AlShabab.

I doubt if TZ can even dare the UPDF right now , they would be cooked like cake.
 

Kha! They can't dare UPDF today, just imagine despite all the advantages JWTZ had over Amin, that war costed Tz so heavily such that they have never recovered, still languishing in poverty blaming Nyerere for that war.
 
Sasa, unavamiaje nchi kubwa kama Tanzania na jeshi la watu 3,000?

Watu 3,000 ni brigade moja au mbili tu hapo.

That was stupid of Amin to think he could annex Kagera, though I read somewhere his idea was to blow the bridge that connects into that region and make it difficult for Tanzanians forces. However, if you read through history objectively, you guys provoked him first, you were training and arming rebels in readiness to overthrow Uganda.
Museveni, Tito Okello and thousands of rebel fighters were all being fed and trained in Tanzania.
 
Kairudisheni na migingo basi
 
I was reading Christopher Hitchen's brick of a collection of essays "Arguably: Essays by Christopher Hitchens".

Right on page 579, when he was making the point that interventions by way of wars are/ should not be the monopoly of superpowers, he made examples of good interventions that were not done by superpowers. The examples being Tanzania's invasion of Idi Amin's Uganda and the Vietnamese overthrow of the Khmer Rouge, both circa 1979.

In examining who started what and who replied in kind, things get murky if you don't establish a very good standard to go by.

So Idi Amin overthrew Milton Obote in 1971. Nyerere kinda felt guilty about that. Because it happenned during a Commonwealth Heads of Government Summit in Singapore. Originally Obote did not want to go, he had a hunch that Amin was not to be trusted. But Nyerere persuaded Obote that it was important for Obote to go to Singapore to strengthen the African case against Ian Smith of Rhodesia and against British support for Smith I believe. So Obote relented to the persuasive charms of the Nyerere arguments. Obote went to Singapore, only to be told that Amin overthrew him.

Nyerere felt so bad. He gave Milton Obote, Tito Okello, Yoweri Museveni, David Oyite-Ojok and a bunch of other Ugandans asylum in Tanzania. That much I know. I know the Ikulu houses Museveni and Obote used to live in. Okello used to be Museveni's neighbor and they would shout at each other over their windows, to the dismay of their more civilized Tanzanian neighbors. Okello used to hire cabs and refused to pay the fare. Museveni has not paid his electrical and water bill in full for the Upanga apartment he was given by The Tanzanian State House, to this day, and he probably will never pay. The poor soul who came to work for Ikulu and was to live in the same apartment was stuck with a huge bill, Museveni's.

So, anecdotes aside, there were a lot of Ugandan activists at University of Dar, including Museveni who graduated there and had frequent meetings with Nyerere. Idi Amin did himself no favor by acting like a buffoon. He constantly kept making ridiculous statements that he wanted to invade Tanzania and take a chunk of the country all the way to the port of Tanga, so Uganda would no longer remain a landlocked country. How do you deal with that type of crazy?

Nyerere genuinely disliked Amin. I would not blame Nyerere if he was training Ugandans for a regime change in Uganda, which eventually happenned. Nyerere did Africa and the world a favor by getting rid of Amin. I was delighted to see the Christopher Hitchens salute.

It is not like Idi Amin was a respectable, self respecting, democratically elected statesman.

We are talking about a buffoon who grabbed power and was killing people wily nilly.

Suprisingly enough, when I was in Kampala a couple of years back, I found some people, Ugandans, were sympathetic towards Amin.

To me, that was more of a cry to denounce the vacuum of leadership many African countries have now than actually. A sort of statement to the effect of "our current leaders are so bad, they make that madman Amin look good in retrospect".

Leadership vacuum can create some dangerous false nostalgia.
 
Kama alijua kuwa ana vita vya ndani hakubaliki na raia pia ana jeshi dogo kwanini atukane wenye Misuli? Si hata bible imesema unapopanga vita kaa chini ujiulize ukubwa wa jeshi lako na la adui?
Haya maneno hayamsaidii kwa sasa maana already overthrown .

Jwtz ndio jeshi pekee lililokuwa linapewa papuchi kama zawadi na raia ugenini, nadhani Kenya hata men wangetoa tigo kabisa
 
Kwahyo ulitaka twende sawa kwa sawa ulidhani vita ni kama mpira ama basketbol? Kwenye vita ukizidiwa chochote kile umekufa mwehu wew
Nafikiri ni kama kucheza draft unasukuma kete kwa zamu. Unarusha ngumi moja unapigwa combination , utashituka unevunjwa ugoko , bega na upigwa macho pia na ulishapigwa kisu cha tumbo . Huu ujinga wa fighting technic ndio unawamaliza kenya. Unavamiwa na magaidi wanaanza gwaride la sherehe za uhuru.
First engagement iwe fotal kwa adui and terrifying
 
Wajamaa nizaidi ya nyani trust me....!![emoji23][emoji23][emoji23]
I trust you. These wajamaa are mothers of bush and gorilla fighting dont mess with them, they touch ur ass within twinkle of eye
 

Hata bila ile Vita amin tungemwondoa tu, Hakutakiwa kuendelea kuiongoza Uganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…