That number is ridiculously fake. Plus, you did not count the Libyans at all. Don't rain on their parade of valor. Don't shortchange their mischievous chivalry.Ndio nashangaa! Ila kinachoshangaza zaidi ni wale ambao wamekuwa wakijivunia kwa miongo minne. Eti kwamba waliishinda hiyo brigade moja tu kwenye vita, tena na vikosi vya nchi zaidi ya mbili, Tan&Znz, alafu ongeza juu yake wanamgambo sijui wa kutoka wapi na wapi.
War is politics. Ukiwa na siasa nzuri utashinda vita 1000. Vita ni game kutengeneza uungwaji mkono.Vita vya Kagera lazima Amin angeshindwa maana Waganda wenyewe walikua wamemchoka hawamtaki, hivyo wakaruhusu nchi yao ikojolewe na jirani, ukizingatia pia maelfu ya waasi na wafuasi wapiganaji wa Museveni, Tito Okello na wale wa Ojok waliungana na jeshi la Tanzania, na pia kunao wapiganaji kutokea Msumbiji wote pia walihusika dhidi ya nduli Amin.
Halafu wengi wa wanajeshi wa Amin walikua majizi, hawakua na uzalendo, hawangepigana hadi mwisho, walitaka fursa za kuiba tu, bora hata wale wa Hitler ambao walizingua kishenzi, hawa wa Amin walikimbia uwanja wa mapambano baada ya kupora.
A big fat lieWar is politics. Ukiwa na siasa nzuri utashinda vita 1000. Vita ni game kutengeneza uungwaji mkono.
Sio tu mji mkuu, ikakaa miaka 3, kama Colonial master tukiwafundisha wagandaIdd amin aliiteka kagera then nyerere akakwara Uganda yote na mpaka leo jwtz ndio jeshi pekee Africa ambalo liliteka mji mkuu wa nchi nyingine [emoji847][emoji847]
KDF dhaifu walifanyiwa ambush ya nusu saa wakauwawa 500 na kuliwa tigo juu