Tanzania, Kenya na Unganda ziungane na kuwa nchi moja

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,615
Reaction score
1,901
Naomba sana viongozi wa hizi nchi tatu zifikilie kuungana na kuwa nchi moja,
Naam ni nchi moja.

Alafu tunakuwa na kiongozi mmoja, huku hawa maraisi wa hizi nchi wanasimama kama mawaziri,.

Tunakuwa na bunge moja, sarafu moja, na sheria moja. Na hii imenivutia baada ya muungano wetu wa kuandaa CHAN na AFCON,.

Kuna watu watahisi kama kuna ugumu sana. Ila kwangu naona ni majambo mema yatakayo pelekea kukua kwa uchumi wa nchi yetu kubwa ya TAUKE (yaani Tanzania uganda na kenya.) au tuuite umoja nchi za Afrika mashariki (USEA) united state of east Afrika.

Sasa hapo tatizo litakuwa wapi?
Mbona hata sasa hivi kuna fursa nyingi tu mumeshikilia watu wa darasalama na sisi wa mikoani tupo tupo tu na wala hatuna shida,? Tukitaka maghorofa tunakuja mwenye tunapiga nayo picha kesho yake tunarudi zetu kigoma wala hakuna shida.

Kuna watu wapo kwenye mikoa ambayo hata lami hawaijui rangi yake na maisha yanakwenda vizuri tu.
 
Naomba viongozi wa hizi nchi mbili zifikilie kuungana na kuwa nchi moja,
Naam ni nchi moja.
Alafu tunakuwa na kiongozi mmoja, huku hawa maraisi wa hizi nchi wanasimama kama mawaziri,.

Tunakuwa na bunge moja, sarafu moja, na sheria moja.
Na hii imenivutia baada ya muungano wetu wa kuandaa CHAN na AFCON,.

Kuna watu watahisi kama kuna ugumu sana. Ila kwangu naona ni majambo mema yatakayo pelekea kukua kwa uchumi wa nchi yetu kubwa ya TAUKE (yaani Tanzania uganda na kenya.) au tuuite umoja nchi za Afrika mashariki (USEA) united state of east Afrika.
TUungane na Muhoooz? Acha masihara
 
Naomba sana viongozi wa hizi nchi tatu zifikilie kuungana na kuwa nchi moja,
Naam ni nchi moja.

Alafu tunakuwa na kiongozi mmoja, huku hawa maraisi wa hizi nchi wanasimama kama mawaziri,.

Tunakuwa na bunge moja, sarafu moja, na sheria moja. Na hii imenivutia baada ya muungano wetu wa kuandaa CHAN na AFCON,.

Kuna watu watahisi kama kuna ugumu sana. Ila kwangu naona ni majambo mema yatakayo pelekea kukua kwa uchumi wa nchi yetu kubwa ya TAUKE (yaani Tanzania uganda na kenya.) au tuuite umoja nchi za Afrika mashariki (USEA) united state of east Afrika.
Exactly
 
Iwe serikali ya majimbo 3 (STATES), kama ilivo marekani. Rais mmoja then maseneta wawe na nguvu kwenye majimbo yao kama raisi kivuli
 
Kila mtu anataka urais nani akubali hiyo, hapo tu huo mwingine tumeuchoka tulete zigo jingine? Aweee tupa huko !
 
Back
Top Bottom