🤕🤕🤕🤕Shauri yako wakenya si level yetu kwanza tukiungana nao ujue ndo kaburi la ccm
Haiwezekani siwezi ishi na hawa matahira makenya ,magomvi , ,masherati hayana utu ni makenge tu . Waharibifu Uganda wanaroho mbaya za kwanini ndio maana Mungu alitupa nchi yetu turidhike nayo hatutakiNaomba sana viongozi wa hizi nchi tatu zifikilie kuungana na kuwa nchi moja,
Naam ni nchi moja.
Alafu tunakuwa na kiongozi mmoja, huku hawa maraisi wa hizi nchi wanasimama kama mawaziri,.
Tunakuwa na bunge moja, sarafu moja, na sheria moja. Na hii imenivutia baada ya muungano wetu wa kuandaa CHAN na AFCON,.
Kuna watu watahisi kama kuna ugumu sana. Ila kwangu naona ni majambo mema yatakayo pelekea kukua kwa uchumi wa nchi yetu kubwa ya TAUKE (yaani Tanzania uganda na kenya.) au tuuite umoja nchi za Afrika mashariki (USEA) united state of east Afrika.
Zezeta kama hili uliunganishe na mkenya kwl!!? Sisi level zetu Burundi na UgandaHaiwezekani siwezi ishi na hawa matahira makenya ,magomvi , ,masherati hayana utu ni makenge tu . Waharibifu Uganda wanaroho mbaya za kwanini ndio maana Mungu alitupa nchi yetu turidhike nayo hatutaki
Sasa hapo tatizo litakuwa wapi?Kenya ni pure capitalism
Tz na ug watakimbizwa vibaya mnooooo..
Fursa zooooote watadhibiti 100% ndani ya muda mfupi sana
Waganda sawa. Ila Wakenya hatuwataki. Kenya ikaungane na Somalia.Naomba sana viongozi wa hizi nchi tatu zifikilie kuungana na kuwa nchi moja,
Naam ni nchi moja.
Alafu tunakuwa na kiongozi mmoja, huku hawa maraisi wa hizi nchi wanasimama kama mawaziri,.
Tunakuwa na bunge moja, sarafu moja, na sheria moja. Na hii imenivutia baada ya muungano wetu wa kuandaa CHAN na AFCON,.
Kuna watu watahisi kama kuna ugumu sana. Ila kwangu naona ni majambo mema yatakayo pelekea kukua kwa uchumi wa nchi yetu kubwa ya TAUKE (yaani Tanzania uganda na kenya.) au tuuite umoja nchi za Afrika mashariki (USEA) united state of east Afrika.
Kuna mahali nimesema Kuna tatizoSasa hapo tatizo litakuwa wapi?
Mbona hata sasa hivi kuna fursa nyingi tu mumeshikilia watu wa darasalama na sisi wa mikoani tupo tupo tu na wala hatuna shida,? Tukitaka maghorofa tunakuja mwenye tunapiga nayo picha kesho yake tunarudi zetu kigoma wala hakuna shida.
Kuna watu wapo kwenye mikoa ambayo hata lami hawaijui rangi yake na maisha yanakwenda vizuri tu.
Sasa na watanzania si mtakuwa na uwezo wa kwenda kumiliki ardhi kenya na uganda au kuna shidoKila nchi ishinde mechi zake mjuba, ardhi yetu haiwezi kuja kumilikiwa na makabaila na mabwenyenye. Tuna ardhi kwa ajili ya watanzania tu
DuhWaganda sawa. Ila Wakenya hatuwataki. Kenya ikaungane na Somalia.
Machizi kama wewe ndio yanaona muungano na matahira wasiojielewa ndio tuungane nao kwanza swali tu nani awe anaongoza huyo ruto mwenye roho ya mnyama au hawa wengine wenye roho kama mashetani wasio na utu ambao maendeleo yao ni zeroo bora huyu mama yupo yupo tu na anawafita machoo .Zezeta kama hili uliunganishe na mkenya kwl!!? Sisi level zetu Burundi na Uganda