Tanzania, Kenya na Unganda ziungane na kuwa nchi moja

Kenya ni pure capitalism
Tz na ug watakimbizwa vibaya mnooooo..
Fursa zooooote watadhibiti 100% ndani ya muda mfupi sana
 
Hii ndio shida mtu akiamka kutoka ndotoni na kupost new thread

Ndoto njema lala usingizi mnono
 
Haiwezekani siwezi ishi na hawa matahira makenya ,magomvi , ,masherati hayana utu ni makenge tu . Waharibifu Uganda wanaroho mbaya za kwanini ndio maana Mungu alitupa nchi yetu turidhike nayo hatutaki
 
Wao hawataomba hisani ya ccm kupata katiba mpya bali watajaa barabarani mpaka kieleweke na ndo utakuwa mwisho wa kauli za dharau za wanasiasa uchwara wa bongo
 
Haiwezekani siwezi ishi na hawa matahira makenya ,magomvi , ,masherati hayana utu ni makenge tu . Waharibifu Uganda wanaroho mbaya za kwanini ndio maana Mungu alitupa nchi yetu turidhike nayo hatutaki
Zezeta kama hili uliunganishe na mkenya kwl!!? Sisi level zetu Burundi na Uganda
 
Kenya ni pure capitalism
Tz na ug watakimbizwa vibaya mnooooo..
Fursa zooooote watadhibiti 100% ndani ya muda mfupi sana
Sasa hapo tatizo litakuwa wapi?
Mbona hata sasa hivi kuna fursa nyingi tu mumeshikilia watu wa darasalama na sisi wa mikoani tupo tupo tu na wala hatuna shida,? Tukitaka maghorofa tunakuja mwenye tunapiga nayo picha kesho yake tunarudi zetu kigoma wala hakuna shida.

Kuna watu wapo kwenye mikoa ambayo hata lami hawaijui rangi yake na maisha yanakwenda vizuri tu.
 
Waganda sawa. Ila Wakenya hatuwataki. Kenya ikaungane na Somalia.
 
Kuna mahali nimesema Kuna tatizo
 
Kila nchi ishinde mechi zake mjuba, ardhi yetu haiwezi kuja kumilikiwa na makabaila na mabwenyenye. Tuna ardhi kwa ajili ya watanzania tu
 
Sasa na watanzania si mtakuwa na uwezo wa kwenda kumiliki ardhi kenya na uganda au kuna shido
 
Kila nchi ishinde mechi zake mjuba, ardhi yetu haiwezi kuja kumilikiwa na makabaila na mabwenyenye. Tuna ardhi kwa ajili ya watanzania tu
 
Kila nchi ishinde mechi zake mjuba, ardhi yetu haiwezi kuja kumilikiwa na makabaila na mabwenyenye. Tuna ardhi kwa ajili ya watanzania tu
 
Zezeta kama hili uliunganishe na mkenya kwl!!? Sisi level zetu Burundi na Uganda
Machizi kama wewe ndio yanaona muungano na matahira wasiojielewa ndio tuungane nao kwanza swali tu nani awe anaongoza huyo ruto mwenye roho ya mnyama au hawa wengine wenye roho kama mashetani wasio na utu ambao maendeleo yao ni zeroo bora huyu mama yupo yupo tu na anawafita machoo .
Mpaka sasa ruto zaidi ya watu serikalini aliowakuta wanafanya kazi hakuna kijana aliyeajiriwa mwingine
 
Hili wazo la kuungana Tanzania, Kenya na Uganda si baya, lakini tukifanya kwa pupa, linaweza kutuumiza sisi Watanzania.

Mfano wa haraka kabisa: siku sheria ya muungano itapitishwa, bei ya viwanja Dar es Salaam inaweza kupanda mara mbili au tatu. Wakenya na Waganda walio na mitaji mikubwa watanunua kwa kasi, sisi tukibaki tunaangalia au tunanunua kwa presha — bei inapanda zaidi.

Pia, ajira zitaingia kwenye ushindani mkali. Wakenya wana CV kali na wanajua kujitangaza, wanaweza kuchukua nafasi nyingi kabla ya sisi kuamka.

Vilevile, sheria za kodi, ardhi, mishahara na uraia ni tofauti. Tukichanganya pasipo mpango, tutajikuta tuna hasara kuliko faida.

Kwa kifupi: muungano uwe kwa akili, si kwa jazba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…