mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Kuna kero Tanzania zipo tu na zinaonekana hakuna ufumbuzi , yaani hata uwe na billion mia Bado hizi shida utakuta nazo.
1. Barabara mbovu hizi zipo tu nunua gari Yako ya bei Kali Kuna sehemu hutopita nayo kisa barabarani mbovu.
2.shida ya maji ipo tu hii , tafta pesa chimba kisima ,sijui nunua tank yaani ipo siku na wakati tu utakuta na kero ya maji
3.umeme hili ni tatizo la kudumu ipo siku kwako umeme utakatika tu sijui kuna nini
4.shida ya usafiri hii ipo tu mara ununue gari Yako utakutana na foleni, gari imeziba njia , sijui mti umekata njia ,daladala zimegoma ila usafiri bongo ni tatizo
5..kero ya mahusiano hii ipo tu
6. Afya yaani unaenda hospital unaumwa mara doctor hayupo mara dawa , mara foleni ya kujiandikisha yaani hili lip tu
7. Taja kero nyingine ambazo ni maisha yetu tu